Kuota watu waliokufaKama ipi
Ila sasa ww umeongelea negative yote amna mazur ata moja?Kuota watu waliokufa
Kulazimika kufanya jambo baya kwa kusukumwa na moyo
Kutamka mambo ya kifo kila wakati
Kutosikiliza ushauri nzuri wa watu
Kuwa na hasira
Kuumwa
Ongezea yale mazuri mkuuIla sasa ww umeongelea negative yote amna mazur ata moja?
Yupo marekaniKuna dogo mmoja shule ya msingi niliyosoma mkoani kwetu Kilimanjaro. Ilikuwa hivi.
Kwa kawaida shule za vijijini tuna desturi kukimbia mchakamchaka kabla ya kuingia darasani.
Sasa siku ya tukio, tulikimbia vizuri mchakamchaka baadae tukaingia madarasani. Ilipofika mida ya saa nne, dogo alianza kuwaaga wenzake akiwaambia "naenda zangu Marekani na sita rudi tena"
Dogo alipita kila dawati akiwaambia hivyo wenzake. Baadae alirudi kwenye dawati lake akakaa. Ilipofika mida ya break, aliamka kwenda nje.
Bahati mbaya alijikwaa kwenye dawati akaanguka chini sakafuni akapiga eneo ya kisogo. Akadondoka chini akaanza kugeuza macho na mapovu yakimtoka.
Tulienda parokiani kuomba gari, ili kumpeleka hospitali. Tulipofika daktari alisema "kijana hatunae tena"..
Ikawa ndio mwisho wake hivyo. So nahisi kuna connection flani hivi wakati kifo kinapomkaribia mtu.
Pole sana mkuuSuala la kifo naamin halitokeagi ghafla tu hii kitu inamaandalizi makubwa sana na ya mda mrefu kiroho,hata kama muhusika atapata kifo cha ghafla kimwili
Nakumbuka mama yangu mimi alifariki ghafla tu aliumwa kidogo tu hayakupita hata masaa mawili,!
Lakin wiki mbili kabla alituita mimi na kaka yangu na alitueleza mengi sana hasa juu ya mke wa kuoa na kudai kwamba hapendi kuona tukiteseka kama flan na flan( alitupa mifano ya uhalisia)
Pia usiku mmoja kabla ya kufikwa na mauti tulikaa nae sana tofauti na siku zote alipigia stori za vifo na alikua akijizungumzia yeye tulifika mbali ikabidi tumkatize kwani hatukupenda yale yatokee japo kua hatukujua ni nini kinafuata tulijua ni stori tu!
Basi bwan ilipofika asubuhi ya siku ya tukio aliamka na kupanga ratiba za siku kama kawaida ila siku ile aliwapa wadogo zangu kazi ya kufanya usafi maeneo yote yanayozunguka makaburi ya familia na akiwasisitiza kung'oa majani yote,,baadae akasalimia majirani wote wanaotuzunguka
Lakin kumbe hakua hata na masaa matano mbele,,alipata homa ya ghafla tu akafariki kabla hata ya kuonja dozi ya tabibu!
Haya yote yakitokea kwa akili ya kawaida huwezi jua kama ni dalili za kifo chake,ila baada ya kutokea ndio utakuja kuunganisha dots sas na kuelewa kumbe alkua akimaanisha hivi
Daa nime kumbuka mama yangu alipo karibia kufariki siku kadhaa nyuma aliniita akanambia ebu shika miguu yangu uone ilivo ya baridi aka sema safari hii sijui kama nita pona!!niliumia sana nikajikaza kumwambia utapona mama!!Suala la kifo naamin halitokeagi ghafla tu hii kitu inamaandalizi makubwa sana na ya mda mrefu kiroho,hata kama muhusika atapata kifo cha ghafla kimwili
Nakumbuka mama yangu mimi alifariki ghafla tu aliumwa kidogo tu hayakupita hata masaa mawili,!
Lakin wiki mbili kabla alituita mimi na kaka yangu na alitueleza mengi sana hasa juu ya mke wa kuoa na kudai kwamba hapendi kuona tukiteseka kama flan na flan( alitupa mifano ya uhalisia)
Pia usiku mmoja kabla ya kufikwa na mauti tulikaa nae sana tofauti na siku zote alipigia stori za vifo na alikua akijizungumzia yeye tulifika mbali ikabidi tumkatize kwani hatukupenda yale yatokee japo kua hatukujua ni nini kinafuata tulijua ni stori tu!
Basi bwan ilipofika asubuhi ya siku ya tukio aliamka na kupanga ratiba za siku kama kawaida ila siku ile aliwapa wadogo zangu kazi ya kufanya usafi maeneo yote yanayozunguka makaburi ya familia na akiwasisitiza kung'oa majani yote,,baadae akasalimia majirani wote wanaotuzunguka
Lakin kumbe hakua hata na masaa matano mbele,,alipata homa ya ghafla tu akafariki kabla hata ya kuonja dozi ya tabibu!
Haya yote yakitokea kwa akili ya kawaida huwezi jua kama ni dalili za kifo chake,ila baada ya kutokea ndio utakuja kuunganisha dots sas na kuelewa kumbe alkua akimaanisha hivi
Akijibu nitag mkuuKama ipi
Wewe jamaa bhanaKitendo Cha CCM kuiba kura kwa nguvu kwa kutumia walimu ni dalili za kifo Cha chama hicho.
hii comment naichongea frame
Acha ujinga kenge weweYupo marekani
Kabla hatujazaliwa tulikuwa wapi? Ndivyo kifo kilivyo, ndiyo Mwisho kila lenye mwanzo Lina mwishoLaiti tungejua mtu ukifa unaelekea wapi tusingekuwa na hofu namna hii.