Kuna huduma nyingine nafuu zaidi ya University Offer?

abdulh iddy

Senior Member
May 28, 2015
159
6
Habari wanaJF.

Naomba kuuliza ukiacha kifurushi cha univesity offer walichokichakachua kuna kifurushi gana kingine nafuu mbadala?

Nawasilisha.
 
Kipo cha vodaCom kwa Tsh. 495 unapata dk 25 voda-voda, dk 5 mitandao yote na sms 1000 kwa 24hrs
Piga *149*60*495#
 
Back
Top Bottom