Kuna hofu mbalimbali zinazowakumba watu. Je, dawa ya kuzima hofu ni nini?

Majoajosh

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
276
186
Habari za muda wakuu,

Niingie kwenye mada. Kuna HOFU nyingi ktk maisha, mfano:

Hofu ya kufeli katika biashara, elimu, kilimo nk
Hofu ya kuachika katika mahusiano
Hofu ya kufukuzwa kazi
Hofu ya kufa
Hofu ya kufilisika nk.

Je, wanadamu wote wana hofu ya kitu Fulani?

Je, dawa ya kuizima hofu ni nini?
 

Fear is not real. The only place that fear can exist is in our thoughts of the future. It is the product of our imagination, causing us to fear things that do not exist at present and may not ever exist. That is near insanity. Now do not misunderstand me, danger is very real, but fear is a choice.​

Will Smith- After Earth
 
Shu

Fear is not real. The only place that fear can exist is in our thoughts of the future. It is the product of our imagination, causing us to fear things that do not exist at present and may not ever exist. That is near insanity. Now do not misunderstand me, danger is very real, but fear is a choice.

Will Smith- After Earth
Shukrani boss, nimependa hiyo part inayoishia na neno...may not ever exist in hahahaha
 
Hofu kwamba hii ni vuli huku kwetu,je nikioteshaa mazao nitaipata au ni hasara tuu,hivyo nasita kufanya maamuzi
Kama una uwezo wa kuingia hapa JF nina imani una uwezo wa kuwasiliana na mamlaka za hali ya hewa za kanda uliyopo hata za kitaifa pia pamoja na maafisa kilimo wa kanda uliyopo ili wakupe majibu juu ya vuli ya mwaka huu.Wasiliana nao watakupa majibu mkuu
 
Asante boss
Kama una uwezo wa kuingia hapa JF nina imani una uwezo wa kuwasiliana na mamlaka za hali ya hewa za kanda uliyopo hata za kitaifa pia pamoja na maafisa kilimo wa kanda uliyopo ili wakupe majibu juu ya vuli ya mwaka huu.Wasiliana nao watakupa majibu mkuu
 
Daah kipindi nipo second year pale sua kuna somo lilinikamata mpaka third attempt maana yake nikilifeli tena nakariri mwaka

Daah pindi nimeshalifanyia third attempt yake (probation) nilikuwa nikiishi kwa hofu sana kipindi kizima nikisubiria matokeo nilikuwa Sina amani kabisa kila nikilifikiria je matokeo yakija nitakuwa nimelichomoa au wameniweka kambani ni retake course



Daaah hofu ni Mbaya Sana wakuu
 
Habari za muda wakuu,

Niingie kwenye mada. Kuna HOFU nyingi ktk maisha, mfano:

Hofu ya kufeli katika biashara, elimu, kilimo nk
Hofu ya kuachika katika mahusiano
Hofu ya kufukuzwa kazi
Hofu ya kufa
Hofu ya kufilisika nk.

Je, wanadamu wote wana hofu ya kitu Fulani?

Je, dawa ya kuizima hofu ni nini?
Meza kujiamini kutwa mara tatu. Nakutokujali watu watakuonaje kutwa mara mmoja
 
Kuna hofu ya kutomfikisha mke/Demu kileleni mwisho wa sik hofu inakuzidi mpaka mashine inashindwa fanya kazi kabisa.Hii hofu ni mbaya sana na usiombe ikukute wadau
 
Dawa zipo nyingi mfano Pregabalin, Bromocriptine but the best could be Propranolol.. Hamna dawa moja ya Anxiety inayofanya kazi kwa watu wote equally!
 
Kuna deal naisklizia ila kwakwel muda mwingi napata hofu kama ita happen .
HOFU MBAYA SANAA
 
Back
Top Bottom