Yaani nimecheka kwa sautiPamoja na hayo dawa ya hiyo hofu ni Bangi, narudia tena ni bangi.
Wachache watanielewa
Daah kipindi nipo second year pale sua kuna somo lilinikamata mpaka third attempt maana yake nikilifeli tena nakariri mwaka
Daah pindi nimeshalifanyia third attempt yake (probation) nilikuwa nikiishi kwa hofu sana kipindi kizima nikisubiria matokeo nilikuwa Sina amani kabisa kila nikilifikiria je matokeo yakija nitakuwa nimelichomoa au wameniweka kambani ni retake course
Daaah hofu ni Mbaya Sana wakuu
Mkuuu,barikiwa saana,ujumbe murua kabisaKwa binadamu aliyekamilika kuwa na hofu ni Jambo la kawaida Sana.ukiona unaishi humu duniani huna hofu yoyote itakuwa haupo normal.Hofu isiyo na KIASI ndio tatizo.Inapaswa utambue hii hofu ni ya kawaida au imezidi kiasi.
Hofu iliyopitiliza mara nyingi inatoka kwa adui shetani maana kiasili Mungu hakutuumba wanadamu na hofu.wakati mwingine inasababishwa na madhaifu yetu sisi wanadamu kutokana na mazingira tuliyokulia,malezi,hulka tulizoridhi n.k
Kuwa na mahusiano mazuri na Mungu ndio nguzo ya kushinda hofu zote,maana Mungu ndie mtoa amani.Ukiwa naye ataachilia amani yake kwako
KweliKweli wakuu hofi ni mbaya Sana asikwambie mtu .!
Ndiyo,utafanikiwaNna hofu kwamba Je ipo siku na mimi nitafanikiwa kukuza biashara yangu?
Kuna mdau amesisitiza tumwombee Mungu,yeye ndiye awezaye kutuondolea hofu7Kuna deal naisklizia ila kwakwel muda mwingi napata hofu kama ita happen .
HOFU MBAYA SANAA
Ohhh, Asante sana bossDawa zipo nyingi mfano Pregabalin, Bromocriptine but the best could be Propranolol.. Hamhna dawa moja ya Anxiety inayofanya kazi kwa watu wote equally!
Duuuuu,kula vizuri na fanya mazoezi ili ujijengee ujasiri ktk hiloKuna hofu ya kutomfikisha mke/Demu kileleni mwisho wa sik hofu inakuzidi mpaka mashine inashindwa fanya kazi kabisa.Hii hofu ni mbaya sana na usiombe ikukute wadau
Maombi ni silaha kubwa, Asante bossKuomba duwa