kuna hili kundi la bongo dar es salaam lilikuwa linaonyeshwa tbd1 wako wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna hili kundi la bongo dar es salaam lilikuwa linaonyeshwa tbd1 wako wapi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by jane_000, Feb 20, 2012.

 1. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hili kundi la bongo dar es salaam walikuwa wakitoa elimu ya bure japo kuwawalikuwa wanazalilisha jesh la polis kushindwa kumshika yule tapel dude sijui wamepotea wapi wasanii wake walikuwa dude,flora,baki na chidy kuna mtu ana data zao nalipenda sana hata wapi naweza kuwapata hata moja munipe simu kama kunamtu anawajua basi pm
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Kumbe unawajua eh,mie namjua flora h-baba na dude uwoya.
   
 3. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba namba za hawa wasanii au wapi nitawapata serious deal
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Namba zao sina nenda clouds fm mjengoni wanazo namba za wote hao,muulize zamaradi ukifika atakupa namba za wote hao wasanii unaowataka hadi namba ya kanumba.
   
 5. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sitaki kanumba hawajamaa wanaakili kwelli na vile vipindi vyao naweza kuwapa deal
   
 6. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  zamarad mimi demu ataniletea mapozi
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Basi mfuate Adam Mchomvu atakusaidia kutafutia namba kwa zamaradi.
   
 8. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante king kong umeanza kuwa good boy I will think about you in my list
   
Loading...