Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,007
- 7,045
Ukatuni wa uswahilini uwo..ukatuni no.3
kumtungoza mwanamke akikukataa
unapita kilakona kumtangaza umeshamfunua uwo ni udhaifu +utahira
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni limbukeni mm huwa sisikilizagi kabisa story za hao washamba.Wale jamaa wa" kiss n tell" unakuta jamaa ni over 25 yrs kabisa ila anakaa kijiweni anahadithia alivyo "tiana" na demu wake jana gheto, aiseeee!
Ni budha? mm nazani ni buza bhana.Hivi wakisema baharia toka budha inamaana gani???
Huyo ni limbukeni mm huwa sisikilizagi kabisa story za hao washamba.
Yaaa ni inasound buza, inamaana gani?
mulemule kabisa mjini tunawaita hivyo siunajua ukiongea humu hizo lugha watu hawatakuelewa humu watu wa uswailini tupo wachache ndio maana hizo code hatutumii humuTunawaita wa "nyasa" hao siku hizi.