Kuna hii tabia ya ukatuni kwa wanaume wengi, haifai

Anamaanisha mabaharia toka buza tumefika waweke fensi si tunarukaga ukuta......

Buza ni eneo fulani dsm kama kkoo, msasani, ubungo, kimara nk...

Buza ni eneo fulani wauni wengi nini na ni uswailini sana kwahiyo hiyo nyimbo anavyosema anawazungumzia hao watu wa buza tabia zao

Hii ni kwa uwelewa wangu...

Yaaa ni inasound buza, inamaana gani?
 
Back
Top Bottom