Kuna Hii Battle Ya ZUCHU vs TEMS

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Leo Nimekutana na battle ya Zuchu na Tems cz wote wamewekwa kwenye category moja za kuania tuzo

Ila Ushabiki tuweke pembeni Zuchu kwenye kuimba aha Mashallah anajua yupo vizur kweny kila angle
Ila kwa Tems cz ni Mnaigeria na kabebwa sana na wizkid ila hana maajabu yeyote
 
Zuchu umekuja kuangalia upepo wako jf kama unafuatiliwa huku si ndio
 
Mtoa mada ili ueleweke vizuri hapo mtoe zuchu umuweke hata anjella au yule abby chams... Maana kwa jinsi WCB inavyochukiwa humu utaambulia maumivu tu ya kuitwa we ni chawa au msukule
 
Leo Nimekutana na battle ya Zuchu na Tems cz wote wamewekwa kwenye category moja za kuania tuzo

Ila Ushabiki tuweke pembeni Zuchu kwenye kuimba aha Mashallah anajua yupo vizur kweny kila angle
Ila kwa Tems cz ni Mnaigeria na kabebwa sana na wizkid ila hana maajabu yeyote
Wabongo tunapenda kulinganisha sometimes mpaka kufikia baadhi washikadau na media kuchonganisha na kuchagua upande.

Ila mkae mkijua Wanaijeria wapo mbali sana,hata huyo Zuchu juzi alikiri kuwa Inspired na Tems kwa mafanikio aliyo yapata kupitia Collabo alishirikishwa na Wizkid.
 
Mtoa mada ili ueleweke vizuri hapo mtoe zuchu umuweke hata anjella au yule abby chams... Maana kwa jinsi WCB inavyochukiwa humu utaambulia maumivu tu ya kuitwa we ni chawa au msukule

Labda wewe ndo unayoichukia hivi utakuwa na akil timamu kweli kuchukia taasisi ambayo hata ugeuze tako vipi huwezi kumiliki acha ubwege kashone boxer hiyo iliyochanika
 
Hahahaaaah! Uzuri ni kwamba hujatumia nguvu kubwa kuonesha ubovu wa akili yako ulipo... Na hongera pia kwa kujielezea katabia kako!

Warning: ucnijibu kama una uwezo mdogo wa kufikiri,
 
Back
Top Bottom