Kuna hatari wengi kupoteza confidence kwa watu kujikita zaidi kutekeleza maagizo

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,117
1,368
Hivi hakuna namna bora ya kuendesha nchi! Kuna hatari wengi kupoteza confidence na utaalamu na watu kujikita zaidi kutekeleza utaratibu na maagizo. Hivyo dhana ya ubunifu kupotea, Wale wanaofanya kazi serikali tupeni uhalisia.
 
Back
Top Bottom