Kuna hatari kubwa inakuja, chukua tahadhari na fanya maandalizi

duh!pole mkuu..
Waziri Ummy anakwambia kwanzia J3 ndo watapata muelekeo wa gonjwa lenyewe,

ilihali upepo umeanza kubadili muelekeo!
Unalosema linaweza kuwa na ukweli kiongozi tangu juzi mi nakula madawa tu na nimejifungia ndani, leo nimeletewa mask ili nisiwadhuru wengine aisee.

Ni hatari sana...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh!pole mkuu..
Waziri Ummy anakwambia kwanzia J3 ndo watapata muelekeo wa gonjwa lenyewe,

ilihali upepo umeanza kubadili muelekeo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umetutahadharisha kulingana na taarifa zinazotolewa na wizara husika pamoja na mitandao au umetutahadharisha kwa kuwa upo ndani ya system na unaona na kuskia yote yanayoendelea ambayo raia wa kawaida hatuyaoni na hatuyaskii mkuu...?

Naomba muongozo kiongozi. Asante.
 
Wakuu

Niwakumbushe kuchukua tahadhari,fuata maelekezo yote ya kiafya,fanya maombi kwa sana linda afya yako,weka stock kidogo kidogo ya vyakula kama kunde,nafaka,kiasi cha fedha nk



Narudia chukua tahadhari mapema kuna hatari kubwa itakuja saa yoyote(japo hatuombei mabaya) ila muhimu kuwa na tahadhari siku za karibuni kila familia na miji kutakuwepo na taharuki na watu tutakimbiana,Muda muafaka kila mtu aandae zana za kuingia vitani haijalishi una nafasi gani iwe cheo,umri wala rangi ndo kwanza saivi makuruta wapo vitani bado vita yenyewe!tuwe makini sana



Tumuombe Mungu atuache salama kwa sabbu kuna kila dalili siku za karibuni kukimbiana hapa.




Huu ni ujumbe mfupi kwako ukiupenda uchukue utakusaidia,kama hauna maana kwako pita kimya kimya tuu itapendeza.





Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uoga ww, mwisho wa binadamu ni kifo, hata ujaze hayo makunde ndani utakufa tu siku 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom