Kuna hasara gani kwa CCM, Zitto na Lissu wakiwekwa kwenye kamati ya maridhiano?

Chachata

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
201
134
Najiuliza tu, sijui hasara yake lakini nawaona hawa ni watu ambao kwa kiasi fulani wanauelewa na migodi ya Tanzania. Wakijumuishwa kwenye kamati kuna hasara gani kwa CCM?
 
Wanaweza kuwekwa na wasisikilizwe
so bora CCM wafanye wanavyojua..

Ukweli halisi tutaujua hiyo siku CCM haipo madarakani
 
Ndio Lissu na Zitto wataweka maslahi ya taifa mbele wakati Ccm wanataka kuweka maslahi yao binafsi mbele.
 
Dube, achilia mbali kwamba mmoja ni mchumi mzuri na mwingine ni mwanasheria mzuri wanayo sifa ya ziada ya uwezo mkubwa wa kujenga honja
 
Tatzo sio hao kuwepa kwenye jopo, tatzo ni lengo la makubaliano yenyewe, CCM KWA AKILI ZAO WANAJUA WANACHOKITETEA
 
Najiuliza tu, sijui hasara yake lakini nawaona hawa ni watu ambao kwa kiasi fulani wanauelewa na migodi ya Tanzania. Wakijumuishwa kwenye kamati kuna hasara gani kwa CCM?

Kuna hasara kubwa sana, kwa maana Tundu Lisu ni less intelligent man, na hawezi kujadiliana na yoyote yule na kukubaliana chochote kile,Tundu Lisu ni retarded!
 
Dube, achilia mbali kwamba mmoja ni mchumi mzuri na mwingine ni mwanasheria mzuri wanayo sifa ya ziada ya uwezo mkubwa wa kujenga honja
Magufuli keshalikoroga kuzuia makinikia, angeomba mazungumzo kwenye mazingira neutral.
Kwa sasa wampeleke Porofesa mruma na Osoro aliyeifiwa na ******
 
Umaarufu wa mtu sio kigezo, wachukuwe hata wananchi na graduate walio mtaani tu ila wenye taaluma husika, huo mchanganyiko utaleta jibu. Hawa wengine ni kuchamba kwingi...
 
Back
Top Bottom