Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu

Unaongelea territory njoo na facts kwamba kuna mtoto wa kigogo wa CCM darasa la Saba ni ofisa wa Ubalozi au BOT, Otherwise toeni boriti huko kwenu kwanza! - William
 
Wewe mwenzetu uko Ubalozi gani? Ebu tuambie sifa zako. Its seems you are too incompetent even to be in JF!

Well, waste of time na wacheni kuchafua majina ya walalahoi wanaojitafutia riziki na familia zao, anzieni huko kwenu kwanza mruhusuni Zitto kugombea Uenyekiti ndio mtakuwa na Moral authority on this ishu, hapa mmedata! Chairman Mao alisema No research no right to speak! - Le Mutuz
 
I see...naona mnakaziana misuli ya shingo.
Hilo ndiyo tatizo la kuwa one sided, you cant relax or be free
 
Hakuna mtoto wa Mkapa Ubalozi wetu wowote Duniani Mkapa ana watoto Wawili Steve na Nico wapo Bongo, na hawapo Ubalozi wowote hapo Bongo Umekurupuka, nenda Bungeni uone Viongozi wa Chadema na ndugu zao wote ni Wabunge, Halafu uje utueleze hivi Chadema ilibidi Mwenyekiti lazima awe Mkwe wa Mtei tu? Hakukuwa na wengine? Wacheni kuchafua Majina ya watu. - William[/QUOT

Huko New York baridi sana nini jamaa umekurupuka na dressing gown!! Kwani kwa nyinyi wagogo/wanyiha kwenu mtoto wa kaka au mdogo wako sio mwanao? Sasa huyo aliyepo hapo kweye ubalozi hana uhusiano na Ben Mkapa?
 
Hehe mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu enyi nyie watu mlioshiba wa nuyoko,sikujua kumbe mkiguswa mnakuwa wakali kama mbogo?
 
Hakuna mtoto wa Mkapa Ubalozi wetu wowote Duniani Mkapa ana watoto Wawili Steve na Nico wapo Bongo, na hawapo Ubalozi wowote hapo Bongo Umekurupuka, nenda Bungeni uone Viongozi wa Chadema na ndugu zao wote ni Wabunge, Halafu uje utueleze hivi Chadema ilibidi Mwenyekiti lazima awe Mkwe wa Mtei tu? Hakukuwa na wengine? Wacheni kuchafua Majina ya watu. - William

Sina tatizo kama familia moja itashika nafasi zote muhimu serikalini au mahala pengine popote ili mradi wana sifa na wanatimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria na taratibu za kazi. Na hata katiba yatu haikatazi watu wa familia moja kuwa kwenye nafasi za uongozi. Msingi wa hoja hii ni tabia ya kupeana kazi huku watu wakiwa hawana sifa.

William, BOT wana matatizo makubwa. ungepata mtu akakuelezea 'kwa pembeni' uozo unaondelea utachanganyikiwa. Kuna watoto wa wakubwa hawana sifa lakini wapo! Mbaya zaidi watoto hawa hawaambiliki, ukimpa kazi either analipuwa au anafanya nusu nusu - utamfanya nini? utamfukuza? kwa jeuri gani? Kuna mambo ya ajabu kwenye wizara zetu hasa nafasi za juu, mambo ni hivyo hivyo.

Malalamiko ya Foreign Affairs yamekuwepo kwa muda mrefu sana. Utoaji wa fursa za kufanya kazi kwenye balozi nje ya nchi haujakaa sawa. Rotation (miaka 4 nje, then unarudi nyumbani) imekuwa haifatwi. Kuna watu wako kwenye balozi nje ya nchi kwa miaka 7 na zaidi. Hakuna la maana wanalofanya mbali na kupokea fax!

William elewa tunaishi kwenye mazingira ambayo mawasiliano au upatikanaji wa taarifa ni rahisi sana. Huko nyuma hatukujua nani anafanya kazi wapi, au nani ni ndugu wa fulani au rafiki wa karibu. Sasa hivi kupata habari sio tatizo, na hata malalamiko kwenye ofisi mbalimbali sio shida kupata. Kwa kifupi foreign affairs kuna matatizo kama ambavyo ofisi nyingine zina matatizo.
 
Sasa hapa ndo umejibu nini mkuu @ NYC?
Hakuna mtoto wa Mkapa Ubalozi wetu wowote Duniani Mkapa ana watoto Wawili Steve na Nico wapo Bongo, na hawapo Ubalozi wowote hapo Bongo Umekurupuka, nenda Bungeni uone Viongozi wa Chadema na ndugu zao wote ni Wabunge, Halafu uje utueleze hivi Chadema ilibidi Mwenyekiti lazima awe Mkwe wa Mtei tu? Hakukuwa na wengine? Wacheni kuchafua Majina ya watu. - William

Well, waste of time na wacheni kuchafua majina ya walalahoi wanaojitafutia riziki na familia zao, anzieni huko kwenu kwanza mruhusuni Zitto kugombea Uenyekiti ndio mtakuwa na Moral authority on this ishu, hapa mmedata! Chairman Mao alisema No research no right to speak! - Le Mutuz

Majungu majungu tu!

Unaongelea territory njoo na facts kwamba kuna mtoto wa kigogo wa CCM darasa la Saba ni ofisa wa Ubalozi au BOT, Otherwise toeni boriti huko kwenu kwanza! - William
 
Kuna baadhi ya sehemu zina afadhali lakini BOT and Foreign Affairs is too much (Nepotism).
Sijui atakuja Messiah gani kusafisha uozo wa ile Wizara.
 
Malecela,
Toa hoja kulingana na thread, sio kila kitu ni CDM na CCM, otherwise una matatizo sehemu fulani, kuwa muungwana japo kidogo.
 
Majungu majungu tu!
Sio majungu mkuu, ni bora ungeipotezea tu hii thread, kwa sababu mke wako hapo Marekani kazi anayofanya amepewa kwa misingi ya kujuwana, kwa sababu hana sifa wala uwezo wa hiyo post aliyopewa kwa mfumo wa kiubabaishaji. u better shut up ur mouth kabla sijaweka hapa full profile ya mke wako ili wadu waujuwe ukweli.
Nakustahi nakuomba stay out of this thread.
 
Well,i can see that ukitaka kumtoa nyoka pangoni mpigie filimbi..naona William @NYC umepigiwa filimbi na umetoka taratibu kujianika jinsi ulivyo...macho kwetu kaka..changia thread tujue mengi yako na wadau wekeni hiyo profile ya mke wake hapo ubalozini ili tujue anachotetea kinatokana na filimbi kulia.
 
Kwa nini wananchi wasiambiwe ukweli kwamba mkwe wa Mzee John Malecela, Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es), alipendelewa kupewa kazi katika ubalozi wetu ingawa hakustahili kupewa kazi hiyo?

Kwa nini tunazungumzia ufisadi wa viongozi wengine, na upendeleo wao kuwasaidia ndugu zao, bila mijadala hiyo kufutwa hapa Jamii Forums, lakini tukimzungumzia John Malecela na watoto wake na wakwe zake wanaopendelewa kupata kazi, mijadala hiyo inafutwa mara moja?

Hata watu ambao hawakuamini wana anza kuamini kwamba ni kweli mtoto wa Malecela, au watoto wa Malecela na ndugu zake wengine, wana nguvu inayo wawezesha kufanya uamuzi nini kichapishwe na nini kisichapishwe hapa Jamii Forums kuhusu John Malecela na familia yake. Na ndiyo maana ukweli ulio andikwa hapa jamii Forums kuhusu Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es) uliondolewa mara moja ili wananchi wasijue ukweli huo.

Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es) ana uelewo mdogo sana. Mara nyingi, anashindwa kujibu maswali hata ambayo ni rahisi sana. Au anajibu vingine kabisa na kuandika majibu ambayo hayana uhusiano kabisa na maswali aliyo ulizwa. Akishindwa kujibu maswali, anaanza kuwatukana walio muuliza maswali na ambao wemembana kwa kutumia logic. Kuna hata wana Jamii ambao wameuliza: "Ana akili gani huyu Field Marshall Es"? Yaani Neema Ngwilulupi Malecela. Wengine wameuliza: "Ana elimu gani huyu?"

Ni jambo la kusikitisha.

Jambo lingine la kusikitisha ni kwamba ingawa Field Marshall Es ana tabia ya kuwatukana watu Jamii Forums, hajawahi kuchukuliwa hatua, na matusi yake hayafutwi labda kwa sababu, kama watu wengine walivyosema, kuna mkono wa Malecela katika Jamii Forums unao endesha mijadala, na unao futa mijadala kuhusu familia ya Malecela wanayotaka ifutwe ikiwa yaliyo andikwa kuhusu familia yao hawayapendi ingawa ni ukweli.

Nguvu ya ukoo huo katika Jamii Forums imeonyeshwa pia na William Malecela, mtoto wa Mzee John Malecela ambaye ni mume wa Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es), alipoharibu mjadala kuhusu Dr. Slaa mpaka mjadala huo muhimu ukafungwa.

Huo ubabe wa kuingilia mijadala na kuichafua, na kuwalinda watu ambao wako katika familia ya Malecela ingawa wana tabia ya kuwatukana watu wanao changia Jamii Forums, unaonyesha nguvu ya mafisadi na familia zao na wanavyo wanyanyasa wananchi wa kawaida, na wanavyo fanya kila kitu kuzuia ukweli kuhusu maovu yanayo tendeka na ukoo wa Malecela na viongozi wengine wabaya usijulikane kwa wananchi.

Lakini ukweli haubadiliki, na hautabadilika.
 
[
Harufu ya kujuana kwa TZ ni kila mahali. MFA pale utaona surname za Mwakawago, Isara,Tibaigana, Kamuzora,Rwegasira etc pengine waliandaliwa kwenda kushika zile nyadhifa. Mambo yatabadilika tuu
Baba alikuwa kibopa wa serikali, Mpaka mama wa kambo lazima wewe hii issue uone kawaida.
 
@ NY tatizo si watoto wa vigogo issue ni je wana sifa za kufanya kazi sehemu hizo?? Nenda BoT uone walivyojazana unasemea CDM wa CCM huwaoni? Tena wengine walibebwa wazi

Mind yako ukishaiset kwenye kulalamika kila kitu utalalamika tu, hivi hao watoto wa vigogo mnataka wafanye wapi kazi? Kwa taarifa yako watoto wa vigogo na matajiri wanapata elimu nzuri na wataendelea kupata nafasi nzuri weather unapenda au la. Haya ni majungu na hisia tu.
We piga kazi kwa bidii ili nawe watoto wako waje kufaidi matunda ya elimu nzuri utakayowapa. Ukikalia kudhani kuwa siasa na katiba mpya ndo vitakutoa pole sana.
 
Huyu ni sehemu ya wale walioguswa na hii thread, labda ungenisaidia tu kunielimisha kama watoto wa vigogo wanapata elimu nzuri ni nini kinachofanya watoto wa makabwela wasipate elimu nzuri?
Nakuomba usikimbie hili jukwaa.
 
Mind yako ukishaiset kwenye kulalamika kila kitu utalalamika tu, hivi hao watoto wa vigogo mnataka wafanye wapi kazi? Kwa taarifa yako watoto wa vigogo na matajiri wanapata elimu nzuri na wataendelea kupata nafasi nzuri weather unapenda au la. Haya ni majungu na hisia tu.
We piga kazi kwa bidii ili nawe watoto wako waje kufaidi matunda ya elimu nzuri utakayowapa. Ukikalia kudhani kuwa siasa na katiba mpya ndo vitakutoa pole sana.

aaah mkuu, mbona kuna watu wana maelimu yao ya kufa mtu, tena wamepata kwa bahati ya kulamba scholarship zinazoeleweka.. Leo wamerudi nyumbani, NO KAZI kisa hakuna wanaemjua na majina yao hayapo kwenye list ya watoto wa vigogo... AU utasema hili hulijui????
 
Hata watu mpindishe vp hii thread... Ukweli utabaki palepale, kujuana kwingi sana BONGO... yaaani watu wengine haana merit kabisaaaaaaaaaaaaa but utawaona wanapeta maeneo nyeti na kulamba mishahara mikubwa ajabu!!
 
Hakuna mtoto wa Mkapa Ubalozi wetu wowote Duniani Mkapa ana watoto Wawili Steve na Nico wapo Bongo, na hawapo Ubalozi wowote hapo Bongo Umekurupuka, nenda Bungeni uone Viongozi wa Chadema na ndugu zao wote ni Wabunge, Halafu uje utueleze hivi Chadema ilibidi Mwenyekiti lazima awe Mkwe wa Mtei tu? Hakukuwa na wengine? Wacheni kuchafua Majina ya watu. - William

Tena hao ni wale waliopitishwa kwenye ubunge lakini walioshindwa walikuwa wengi na wote ni wa familia hizo hizo. Mtoto wa Mtei ndiye alikuwa head wa IT wa Chadema kwenye kampeni za last year.

Well, waste of time na wacheni kuchafua majina ya walalahoi wanaojitafutia riziki na familia zao, anzieni huko kwenu kwanza mruhusuni Zitto kugombea Uenyekiti ndio mtakuwa na Moral authority on this ishu, hapa mmedata! Chairman Mao alisema No research no right to speak! - Le Mutuz

Majungu majungu tu!

This is too low of you!!

Jibuni hoja, msianze kuleta habari za uchama hapa; kwani katika hilo the whole political system hapa TZ is corrupted with nepotism si CHADEMA, CCM, CUF, TLP, wala NCCR-Mageuzi.
 
Back
Top Bottom