Kuna harufu kali ya ufisadi kwenye hizi chaguzi za NEC

Tang Zhou

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,206
2,587
Tume ya Uchaguzi inaonekana haitetereki na marudio ya chaguzi kila kukicha na inaonekana ni jambo wanalolipenda mno...

Yule Rais mpenda sifa na majigambo kwamba yeye ni mtu wa kuzuia hela za umma zisitumike vibaya naye anaonekana hasumbuliwi na marudio ya chaguzi hizi ambazo kwa makisio ya haraka haraka hadi sasa zitatumia bil.32(Gazeti la Mwananchi la leo)..

Sasa jambo lolote ambalo huwa halikemewi na Magufuli ujue ana maslahi nalo asilimia 100, na hakuna maslahi yaliyo na maana kwa Magufuli zaidi ya fedha..

Ninapata hisia, hizi chaguzi zinazofanyika sasa kila siku ni mbinu ya Magufuli kutoroshea fedha za Umma kwenda CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa 2020, huyu mtu ni corrupt na ni hatari kwa ustawi na usalama wa taifa, mark my word!
 
Demokrasia ni gharama ndio maana NEC hutengewa bajeti kwa ajili ya uchaguzi.
 
Demokrasia ni gharama ndio maana NEC hutengewa bajeti kwa ajili ya uchaguzi.
Pumba,.././''-09jkl vu demokrasia ya kupiga watu risasi kwa vile wana mawazo tofauti, kuzuia mikutano ya wapinzania wakati ccm inafanya, kutwesa watu, kuua watu kwenye sandarusi etc etc etc ndio demokrasia! Shame on you!
 
Back
Top Bottom