Kuna halmashauli gani inayotesa watumishi wake kama mbeya vijijini?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna halmashauli gani inayotesa watumishi wake kama mbeya vijijini?.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vitalino mlelwa, Mar 2, 2012.

 1. V

  Vitalino mlelwa Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf nimeamua kuandika thread hii kutokana na manyanyaso niliyopata toka halmashauli hii kwa muda miezi kumi tangu kuajiriwa bila kuingia kwenye mfumo wa mishahara nakuwa sijalipwa mishahara kwa muda wote huo. Hivo unatakiwa kuandika barua ya kupata salary advance kila mwezi hadi kuipata hiyo pesa kidogo unafuatilia mpaka pesa yenyewe inaishia kwenye nauli.

  Mwezi wa kumi na mbili tuliambiwa kuna mfumo mpya wa upelekaji data kwa njia ya mtandao na kuwa mwezi wa kwanza tungetoka lakini huu mwezi wa tatu tunaimbiwa ngonjela za kuwa eti ilishindikana kutuma hivo ametumwa mtu physicaly yani hadi nimejizira nanimekata tamaa kuwa lolote liwe mwezi wa kumi tulishauliwa kwenda hazna na tukaambiwa data zetu hazja fika toka halmashauli wakati kila mwezi tunaambiwa kuwa zimetumwa daa!. hebu tujiulize maswali haya.

  1.hivi watendaji wa namna hii wanafaa kuhudumia binadamu au mifugo?
  2.ivi ni kweli watendaji hawa waselikali wanaagizwa kuwanyanyasa wanainchi?.
  3.kama utawala bora ni utawala wa shelia sasa ni shelia gani inayowaongoza watendaji hawa kuchelewesha watumishi kwa miezi kumi bila mishahara?
  4.na selikali inawachukuliaje watendaji wa aina hii?

  Kiukwekweli najutia kuwa mwajiliwa wa selikali na malengo yangu yanavurugika ovyoovyo kama nabahatisha maisha hiv kama kila mtu alipo akileta uvivu wa aina hii tunalipeleka wapi taifa letu inaniuma sana.
  Naomba ushauli wenu wana jf.
   
 2. F

  FILOMBE Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hatari sana hiyo kwa jamii ya Watanzania. UKimbeza mwalimu kwa kiasi cha namna hiyo ujue unaua elimu na jamii nzima ya Tanzania. So, please watendaji hebu ioneeni huruma serikali hii ya Tanzania na jamii nzima kwa ujumla.
   
Loading...