Kuna haja ya Waziri Ngeleja Kuwaomba Msamaha Watanzania??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya Waziri Ngeleja Kuwaomba Msamaha Watanzania???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Dec 24, 2010.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,833
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  Wiki kama mbili zilizopita Waziri wa nishati alinukiriwa na vyombo vya habari kwamba swala la mgao wa umeme sasa ni hadithi TZ. Sasa Tanesco wametangaza mgao, tena mgao mkali wa umeme.

  Je kuna haja ya waziri kuwaomba wananchi msamaha kwa kuwadanganya??
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,721
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Siasa tuuuuuuuuuuuuu, hakuna lolote
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,618
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Kwanza anapaswa kutuaeleza ni kipi kilichomsukuma hata akaropoka kuwa tatizo la umeme litakuwa historia tz then aombe radhi kwa kuudanganya umma,akikaa kimya atakuwa ametuona watz ni majuha,ikibidi ajiuzuru,hii kashfa.
   
 4. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,166
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hatakiwi kuomba msamaha anachotakiwa kufanya ni ku step down! Na asipofanya hivyo then mkwere amstaafishe huyo waziri wako wengi wanaoweza
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hana Credibility... Je anajua kwamba kauli kama hii inaweza kupelekea watu waliokuwa wamebajeti kununua Generator kutumia pesa hizo kwa shughuli nyingine????? Waziri lazima awe anaongea vitu ambavyo ana uhakika navyo na si kuropoka tu.
   
 6. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,618
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Kwanza anapaswa kuueleza umma ni nini hasa kilichomsukuma hata akaropoka kuwa tatizo la umeme litakuwa historia,then atuombe radhi ikibidi ajiuzuru,kutofanya lolote kati ya haya atakuwa ametutukana.
   
 7. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 8. Joyum

  Joyum Senior Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi haiwezekani kumshitaki kwa kuongea uongo?
   
 9. S

  Sumuni Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni ushahidi kuwa kwa kiasi kikubwa Kikwete anachagua mawaziri kwa ama urafiki/undugu au kutokujua anafanya nini. Haiingii akilini kwamba kikwete hajui Ngeleja aliropoka nini na kilichotokea halisi nini, tena katika kipindi kifupi mno! Achilia uropokaji wa akina Celine na wengine. Angekuwa ameteua mawaziri kwa kuzingatia uwezo wao na utayari wa kuwatumikia watanzania, tayari angetambua kuwa alifanya kosa na angekuwa amelirekebisha mara moja. Yu kimya kwasababu anajua uteuzi wake ama ni wa fadhila au walau wa kutu-blind in a way watz. Umeme ni engine ya maendeleo. Uchumi kama unavyotegemea mafuta, unategemea pia umeme. Iweje umteue mtu ambae ame-prove failure. Nakubaliana na wote wanaosema kuwa kuomba msamaha hakutoshi. Nakubaliana na wataka a-step down. Lakini najua hilo kwake kamwe haliwezi. Hana akili wana inception ya utumishi wa umma. Hajui kuwa yeye ni mtumishi wa watu. Kinachotakiwa ni sisi watanzania kumtoa. Yatupasa kushinikiza kuondoka kwake. Kama ni maandamano, mikutano, kupaza sauti kwenye vyombo vyenye sauti, what have you!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 145
  hatakiwi kuomba radhi, anatakiwa kuachia ngazi kabisa... yawezekana yeye ndio gundu la tanesco na wakimbadili tu mambo yatabadilika
   
 11. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Hii kauli ya mgawo kuwa historia ilikuwa kauli ya pili. kauli kwanza aliitoa baada ya kusikia kuwa Mh. Kafulila anataka kupeleka hoja bungeni kuhusu waziri wa nishati.

  Hata hivyo hakuna haja ya kufutilia viongozi wa Tz wanaongea nini. Mmesahau kuwa wakati JK anapokea mitambo ya Richmond aliahidi kuwa mgawo utakuwa histori lakini badala yake mpaka leo kauli hizo zimebaki kuwa historia. Hakuna haja ya kufuatilia kauli za watu wasio makini
   
 12. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nimekupata mkuu!
   
 13. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwanza mimi nilimuona kama **** hivi.How can you conspire to do something, halafu uombe msamaha.Hawa watu wamekosa aibu sana.
   
Loading...