Kuna haja ya wakurugenzi wa public institutions kuwa drilled na Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya wakurugenzi wa public institutions kuwa drilled na Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIMING, Jun 28, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I wish tungekua na utaratibu wa wakuu wa mashirika au idara muhimu za serikali kuwa wanahojiwa na bunge kuhusu utendani, mafanikio na challenges za sehemu zao za kazi ili kuongeza ufanisi kwa taifa hili

  Tumekua tunalaumu zaidi wanasiasa wakati watendaji ndio waharibifu wakubwa wakishirikiana na wanasiasa
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanahojiwa na kamatai za bunge sema ndo hivyo wakishapewa bahasha wale wanaohoji hawana meno tena.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wahojiwe on-camera na wananchi waruhusiwe kuhudhuria mahojiano hayo (kwa mtindo card maalum - entry pass).
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kama inavyofanyika kenya
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,054
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekusoma, lakini unazungumzia Bunge lipi? Hili la wachumia tumbo na wagombea posho? Tatizo ni kubwa kuliko unavyofikiria ndungu yangu. Kinachotakiwa ni ku-overhaul mfumo mzima kuanzia mfumo wa bunge, serikali, mahakama, na idara zote. Na hili tukiwa makini nalo na utashi wa kisiasa ukiwapo, ndio hasa lengo la KATIBA MPYA; ni lazima ku-address mambo yote haya.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yah, ndio maana nikatamani wapewe public drill na wananchi wakishuhudia, i travelled with one DG last week, yaani anavyoongea huwezi amini ni mtu mwenye dhamana kubwa serikalini

  he is just into per diem, "kibanda" chake mbezi beach, utamu wa safari nk
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yes

  and we need them to tell us malengo na achievements, we can start with tanesco

  firing could be done even by voting of MPs kwa wale wanaoshindwa kutimiza malengo yao
   
Loading...