Kuna Haja Ya Sheria ya Kudhibiti Matumizi Binafsi ya Simu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Haja Ya Sheria ya Kudhibiti Matumizi Binafsi ya Simu?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Amavubi, Apr 10, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Wahenga wanasema hakuna masika yasiyokuwa na mbu, kwa haya yanayotokea miongoni mwetu si vibaya kufanya tafakuri ya mustakabali wa yote haya...yamkini kuna wengi ambao ndoa zimevnjika, mapenzi yamekoma,wakosa viungo mbalimbali au kujeruhiwa kiakili, kiuchumi, kimwili, na au kisaikolojia kutokana na simu aidha kwa wivu au kwa hisia, kwa kuwa hii ni kama changamoto mpya ndani ya mahusiano yetu, wadau hamuoni kwamba kuna haja ya kuwa na tafakuri tunduizi katika hili?
   
Loading...