Kuna haja ya serikali ikakusanya lile jeshi la akiba

Yaani takwimu zinaonyesha serikali ifanye haraka sana kukusanya wale woote wenye uzoefu au kujua silaha (waliopitia jeshi)kwani kuna viashiria viashiria ambavyo hapa mbeleni panaweza kuwa sio pazuri saana na hata kama watafanikiwa hao hao serikali inaweza watumia wao kama kutuliza ghasia maana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Naomba niishie hapo.
Mwenye akili ameshakuelewa. Tunaomba wenye busara waingilie kati kabla huyu dereva mlevi ajasababisha maafa.
 
Do
Wamjambishe nani?, mbona hamkutokea siku yenyewe? tafadhali usijekuwa sababu ya fujo na uvunjifu wa amani, kula kunya , kalale
Dogo unapotea! Hamjawahi kuwa na jeshi la kuweza kupambana na wananchi wote wa mkoa mmoja! Ikitokea machafuko yakaenea nchi nzima sijui myawezaje! Jikubalini kuwa huko ccm mmejaa vichwa panzi msiohoji na kureason! Mpompo tu kiumberruth!
 
Watanzania ni Wazalendo

Achana na porojo za watu miambili mtandaoni wanaobweka huku wamejificha ndani

Wataandamana hao miambili watalambwa tu

Kipindi cha Mzee kikwete, kwenye mkutano wa chadema Arusha zilipigwa risasi kadhaa hewani

wanaume walikimbia wakaacha kina mama wakafa kwenye mkutano
Zama ubadilika
 
Back
Top Bottom