Rais amechaguliwa kufanya yale mazuri kwa wananchi sasa kwanini akifanya hivyo asifiwe wakati ni wajibu wake?
Rais akifanya kile ambacho sicho alichotumwa na wananchi kwanini asikosolewe?
Na hii si kwa Rais tu bali ni kwa watendaji wote wa serikali mashirika ya umma jumuiya mbali mbali n.k
Nawasilisha.