Kuna haja ya Nchi yetu kuwa na Rais Mwanasheria au Mwenye elimu Juu ya Sheria (LL.B)

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,816
Niweke haya bayana kua mimi sio mfuasi wa chama chochote hapa nchini.

Taifa letu bado ni changa na ambalo ndio limeanza kukua kiuchumi kwa speed ya namna yake, huku bado bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 30 ikitegemea fedha za mabeberu ili iweze kujikidhi

Tuna elewa msingi wowote ule wa taifa imara unatokana na Katiba ambayo ndio sheria mama na sheria zingine ndogo ndogo ambazo ndizo tekelezaji wa matakwa yote ya wananchi na nchi na ambazo zinapata uasili wake toka kwenye katiba

Ili nchi iendelee ni wazi ina muhitaji kiongozi mmoja tu shupavu na akabadilisha kila kitu, rejea mataifa makubwa yote dunian na yalio kiuchumi yote ni mtu mmoja ndio aliwabadilishia maisha yao, mfano China - Mao Tse Tung, Russia - Vladmir Lenin, USA - Benjamin Franklyn, Indonesia - susilo bambang, Oman - Qaboos bin Said, nk nk nk

Ili tubadilike na tufike mbali tuna muhitaji mtu mmoja tu mbeba maono na ambae ataweza kubadilisha system nzima hatuitaji kundi la watu wala chama cha watu, historia haidanganyi hakuna nchi duniani hata moja nasema hata moja ambayo ilibadili historia yake yenyewe kwa chama flani au kikundi cha watu flani, kote ni mtu mmoja ndio alisimama kote kote tafitini mtajionea.

Sasa mtu mmoja ni anaweza akajengwa na sie wananchi kwa kupitia sheria, maoni na dhamana, au anaweza kuzaliwa tu, kitu ambacho ni adimu vile vile.

Kwenye makundi ya watu kuna interests nyingi, kuna uwalakini mkubwa na changamoto za kutaka kuchukuliana nafasi ila kwenye mtu mmoja kuna usalama kiasi.

Sasa ni sheria ndio itakayo mfanya kiongozi yoyote kutupeleka nchi ya ahadi, tuna hitaji sheria bora katika kodi, katika vyakula, katika huduma za afya, katika miundo mbinu, katika usimamizi wa vitu na watu, katika uhuru, katika teknolojia na karibu kila kitu zote hizi ni sheria ambazo watu watalazimika kuzifuata na neema kuja.

Ni wakati sahii sasa wa sisi kama Taifa tumpe mtu mmoja mwanasheria mwenye weledi mkubwa na mwenye kuijua sheria kindaki ndaki nje ndani, hii itatusaidia sanaa kama taifa na ni ukweli ambao uko wazi kwamba tunaona athari za sheria kua na walakini kwenye jamii, mfano juzi tu hapa tumepitishiwa sheria ya maswala ya kimitandao ambayo imeweka mpaka tozo za kodi za milion 3 kwa mtu yoyote atakae jifungulia ata ka ji website kake tu au ka online tv you tube ili ajipatie chochote kitu, ni kuna mengi ndugu zangu katika sheria hizi na athari zake, wote tunajua.

So tuangalia na upande huu wa wanasheria, na historia inaonesha wazi marais ambao waliwai kua wanasheria ni waliyabadilisha mataifa husika mbaaaliii mbaaaliii sanaaaa, na hapa ntakuwekea orodha ya marais wa toka taifa namba moja duniani kwa utajiri, sheria bora na lenye nguvu kuliko taifa lolote lile duniani na orodha ya marais wake ambao waliwai kua wanasheria na wakalifikisha hapo lilipo iv leo taifa hilo na wengine waliongezewa mpaka vipindi vya muongozo kwa shughuli zao nzuri walizo zifanya kama Franklin D. Roosevelt, na wengine mpaka wakabadili historia ya miaka 400 ya utumwa kama Abraham Lincoln.

Orodha ya wanasheria/mawakili waliowai kua Marais ndani ya USA

John Adams
Thomas Jefferson
James Madison
James Monroe
John Q. Adams
Martin Van Buren
John Tyler
James Polk
Millard Fillmore
Franklin Pierce
James Buchanan
Abraham Lincoln
Rutherford B. Hayes
Chester Arthur
Grover Cleveland
Benjamin Harrison
William McKinley
William Taft
Woodrow Wilson
Calvin Coolidge
Franklin D. Roosevelt
Richard Nixon
Gerald Ford
Bill Clinton
Barack Obama

Inatosha sasa, ni muda wa Wanasheria kutuongozea nchi yetu tajiri hii.
 
Mods rekebisheni tittle iwe mwenye elimu ya juu ya sheria (LL.B)
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Big up Ni wazo Zuri sana kwan sisi wote hutumia sheria ili kuiongoza nchi sasa kama husipo itambua shelia ndo wanakuwa wanatumia dictator
 
Back
Top Bottom