Kuna haja ya muhandisi kusoma masters? Nini faida yake?

Mbotech

Member
Aug 23, 2019
81
79
Salama

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara, eti wakuu kina haja ya muhandisi kusoma masters ? Na je muhandisi mwenye masters kuna reward yoyote ile kama vile kupandishwa cheo kazini ?
 
Salama

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara, eti wakuu kina haja ya muhandisi kusoma masters ? Na je muhandisi mwenye masters kuna reward yoyote ile kama vile kupandishwa cheo kazini ?
Mfano Akitaka kuwa dokta huoni ni lazima akasome masters?
 
je akushakuwa dokta kuna reward yoyote ile kazini kama vile kupandishwa mshahara au cheo? Assume huyu si academician
Mfano kwenye department yako mko ma injinia watatu na wote mna degree. Baada ya kusoma ukapata master's. Imetokea nafasi say ya uongozi mfano DE, DWE etc na kati yenu huyo mwenye masters ana nafasi kubwa yakupewa hiyo nafasi na ukipata hiyo nafasi ina maana na scale yako itapanda possibly to LSSE kutoka TGS.

Na kama unavyojua serikali ya jiwe wenye masters na phd ndio wanaula... unaeza shangaa umemaliza masters ukapata chance wizarani!!

All in all, Kama sio academician masters mara nyingi ni added advantage.
 
Back
Top Bottom