Kuna haja ya mamlaka husika kufuatilia uchezeshaji wa soka hasa kwa timu za Simba na Yanga?

haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,400
1,628
Kwanza na declare interest Mimi sio mpenz wa soka kabisaa!!! Mimi ni mfuasi wa live band, old school bolingo, na mzik wa zaman wa hapa Tz.

Ila jamaa zangu wengi na wafuasi wa simba na Yanga.

Jana,26/12 nilikaa mahali nakunywa soda yangu !!!! Ilikuwa mechi ya Yanga vs Biashara FC.

Kiukweli nikishangazwa na malumbano makali sana kati ya washabiki wa Yanga na biashara ambao ni simba !!!wengi walijenga hoja kuwa kuna timu inabebwa na TFF imeshaamua nani awe bingwa!?

Malumbano haya yalianza mwanzon kabisa ya mchezo hasa baada ya kupata goli LA mapemba. Shabiki mmoja wa biashara alisema hilo goli litarudishwa na Yanga itapata penati kweli yakatokea!

Akaenda mbali zaid akawa waonesha ni kwa namna gan refa anapeta faulo wanazofanyiwa biashara lakin wanazofanyiwa Yanga ana take action!!!! Hilo lilizua mabishano makali sana !!!miongoz kwa waliokuwepo!?

Mimi ombi Langu ni kwa ili kukata mzizi wa fitina kwann isiundwe tume ya wataalamu kufuatilia tuhuma hizo!?

Za kubebwa Yanga na Simba!?
 
Utoh hawatakuelewa wamejipanga mno.. hata yule moloco usikute alishapewa maelekezo ndo maana alikuwa anakimbiakimbia hovyo kwenye18 ili tu aguswe ajiangushe..mara ya kwanza alijiangusha bahati mbaya hakutega vizuri mwamuzi akajifanya kumuonya na kadi ya njano..lkn kila kitu kilikuwa kimepangwa ndo maana mara ya pili refa akaona acha amzawadie penati.. hawa utoh wamedhamiria kuchukua kombe msimu huu hata iwe kwa.....
 
Ulichoharibu kwenye mada yako ni kuitaja Simba ambayo haihusiki na maelezo yako.

Majibu ya stori yako ni haya:

1. Goli la kwanza la Yanga ni goli zuri na linafaa kuwa goli Bora la mwaka. Wimbo wa Rose Mhando wala haukuhusika pale. Ni goli halali

2. Goli la pili la Yanga ile ni Penart halali, alianza kushikwa na kugongwa mguuni akiwa ndani ya Box akaenda kuangukia nje ya uwanja. Ni tuta lile

3. Goli la Tatu la Makambo nalo lilikuwa halali, Yanga ndio imeonewa na Refa.

4. Ukiona mtu anaumia na ushindi wa Yanga ujue huyo ni shabiki wa upande wa pili ambae hapendi Yanga ishinde. Juzi Coastal union ilipewa Penart ya mchongo ila wala hakukuwa na kelele ila akishinda Yanga ndio inatafutwa sababu isiyo na ukweli.
 
Ulichoharibu kwenye mada yako ni kuitaja Simba ambayo haihusiki na maelezo yako.

Majibu ya stori yako ni haya;

Hii vita ni kubwa sana. Hakuna msimu ambao battle yake ni kubwa kama msimu huu.

Makolo hawaamini na hawataki kabisa kuskia kua Yanga ana kikosi kikubwa cha kushinda mechi nyingi kulko misimu yote ya hivi karibuni.

Yanga akishinda amehonga, akishindwa timu mbovu, wao makolo wakibanwa kweny mechi wamekamiwa na GSM ametoa hela.... Yaan ni kwamba waachiwe magoli wafunge isionekane kua wamekamiwa huku Yanga ikipoteza waje kuinanga na kutukana kwa kuiita majina mabaya.

Hii sijui maana yake ni nini hawa ndugu zetu. Huwezi kuwaskia kabisa wakizungumzia goli la makambo na yale ya Geita yanga alinyimwa na wao makolo geita wanyimwa lile la George Mpole.
 
Wafanye kama italy, wafatilie mawasilino ya waamuzi, kamati ya waamuzi watagundua kwanini waamuzi wetu hawatoboi kimataifa.
 
Ulichoharibu kwenye mada yako ni kuitaja Simba ambayo haihusiki na maelezo yako.

Majibu ya stori yako ni haya;
1. Goli la kwanza la Yanga ni goli zuri na linafaa kuwa goli Bora la mwaka. Wimbo wa Rose Mhando wala haukuhusika pale. Ni goli halali

2. Goli la pili la Yanga ile ni Penart halali, alianza kushikwa na kugongwa mguuni akiwa ndani ya Box akaenda kuangukia nje ya uwanja. Ni tuta lile

3. Goli la Tatu la Makambo nalo lilikuwa halali, Yanga ndio imeonewa na Refa.

4. Ukiona mtu anaumia na ushindi wa Yanga ujue huyo ni shabiki wa upande wa pili ambae hapendi Yanga ishinde. Juzi Coastal union ilipewa Penart ya mchongo ila wala hakukuwa na kelele ila akishinda Yanga ndio inatafutwa sababu isiyo na ukweli.
Unakumbuka mwaka Jana wakati simba alipokuwa anashinda mechi zake kihalali kabisa upande wa pili walikuwa wanalalamika kwamba simba anabebwa na tff na marefa?
 
Utoh hawatakuelewa wamejipanga mno.. hata yule moloco usikute alishapewa maelekezo ndo maana alikuwa anakimbiakimbia hovyo kwenye18 ili tu aguswe ajiangushe..mara ya kwanza alijiangusha bahati mbaya hakutega vizuri mwamuzi akajifanya kumuonya na kadi ya njano..lkn kila kitu kilikuwa kimepangwa ndo maana mara ya pili refa akaona acha amzawadie penati.. hawa utoh wamedhamiria kuchukua kombe msimu huu hata iwe kwa.....
Kuna mechi Yanga ilifanya sub dk za mwisho wakamwingiza Saido mara penati na moja kwa moja akapiga ,ni Kama tukio lililoandaliwa
 
Kwanza na declare interest Mimi sio mpenz wa soka kabisaa!!! Mimi ni mfuasi wa live band,old school bolingo,na mzik wa zaman wa hapa Tz!!!
Ila jamaa zangu wengi na wafuasi wa simba na Yanga!!!
Jana,26/12 nilikaa mahali nakunywa soda yangu !!!! Ilikuwa mechi ya Yanga vs Biashara fc !!!
Kiukweli nikishangazwa na malumbano makali sana kati ya washabiki wa Yanga na biashara ambao ni simba !!!wengi walijenga hoja kuwa kuna timu inabebwa na TFF imeshaamua nani awe bingwa!??malumbano haya yalianza mwanzon kabisa ya mchezo hasa baada ya kupata goli LA mapemba !!! Shabiki mmoja wa biashara alisema hilo goli litarudishwa na Yanga itapata penati!!!!kweli yakatokea!!!
Akaenda mbali zaid akawa waonesha ni kwa namna gan refa anapeta faulo wanazofanyiwa biashara lakin wanazofanyiwa Yanga ana take action!!!! Hilo lilizua mabishano makali sana !!!miongoz kwa waliokuwepo!?
Mimi ombi Langu ni kwa ili kukata mzizi wa fitina kwann isiundwe tume ya wataalamu kufuatilia tuhuma hizo!?
Za kubebwa Yanga na Simba!?
Mbona goli la Makambo lilokataliwa hamlizungumzii.
 
Hii vita ni kubwa sana. Hakuna msimu ambao battle yake ni kubwa kama msimu huu.

Makolo hawaamini na hawataki kabisa kuskia kua Yanga ana kikosi kikubwa cha kushinda mechi nyingi kulko misimu yote ya hivi karibuni.

Yanga akishinda amehonga, akishindwa timu mbovu, wao makolo wakibanwa kweny mechi wamekamiwa na GSM ametoa hela.
Yaan ni kwamba waachiwe magoli wafunge isionekane kua wamekamiwa huku Yanga ikipoteza waje kuinanga na kutukana kwa kuiita majina mabaya.

Hii sijui maana yake ni nini hawa ndugu zetu. Huwezi kuwaskia kabisa wakizungumzia goli la makambo na yale ya Geita yanga alinyimwa na wao makolo geita wanyimwa lile la George Mpole.
Kikosi kizuri Kiko wap wakat mnashinda kwa mbinde Sana?

Simba wakati wanaanza ligi walikua wanashinda kwa mbinde wakat nyie mkishinda bila taabu, Simba Gali limewaka uto anashinda kwa mbinde balaa.

Ewe mwana utopolo kwa dalili hizi kipi kinakujia kichwan mwako?

Majibu unayo na muda wa kutafuta visingizio au kuwatisha marefa tunajua unakaribia na ule muda wa lawama kwa tff soon tutaanza kusikia.

Mimi kwa mtazamo wangu yanga mna timu ya kawaida Sana tena Sana.

Mchezaji ambae anaibeba Ile timu kwasasa Ni yule mrundi Ntibanzokiza pekee huyo ndie mchezaji ambae nikiri ndie hatar kuliko takataka yoyote hapo uto màana akishika mpira unayaona madhara, lakin aucho, bangala, Djuma Fei ni overrated players.

Ukitaka kujua Hilo subir club bingwa Kama mtabahatika kubebwa Tena ndipo mtaelewa kuwa yanga Ina wachezaji wa kawaida mno Zaid ya mno.

Narudia Tena na Tena mchezaji ambae mnapaswa kumrinda Kama mboni hapo uto Ni huyo mrundi wengine wote kawaida Sana.

Na ubingwa hambebi hata mfanye figisu za aina gan ,Kuna siku figisu zitagoma tu.

Povu ruksa Wana uto
 
Utoh hawatakuelewa wamejipanga mno.. hata yule moloco usikute alishapewa maelekezo ndo maana alikuwa anakimbiakimbia hovyo kwenye18 ili tu aguswe ajiangushe..mara ya kwanza alijiangusha bahati mbaya hakutega vizuri mwamuzi akajifanya kumuonya na kadi ya njano..lkn kila kitu kilikuwa kimepangwa ndo maana mara ya pili refa akaona acha amzawadie penati.. hawa utoh wamedhamiria kuchukua kombe msimu huu hata iwe kwa.....
Sasa kama hataki kuguswa si acheze PS game

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Ulichoharibu kwenye mada yako ni kuitaja Simba ambayo haihusiki na maelezo yako.

Majibu ya stori yako ni haya;
1. Goli la kwanza la Yanga ni goli zuri na linafaa kuwa goli Bora la mwaka. Wimbo wa Rose Mhando wala haukuhusika pale. Ni goli halali

2. Goli la pili la Yanga ile ni Penart halali, alianza kushikwa na kugongwa mguuni akiwa ndani ya Box akaenda kuangukia nje ya uwanja. Ni tuta lile

3. Goli la Tatu la Makambo nalo lilikuwa halali, Yanga ndio imeonewa na Refa.

4. Ukiona mtu anaumia na ushindi wa Yanga ujue huyo ni shabiki wa upande wa pili ambae hapendi Yanga ishinde. Juzi Coastal union ilipewa Penart ya mchongo ila wala hakukuwa na kelele ila akishinda Yanga ndio inatafutwa sababu isiyo na ukweli.
Bangi unayovuta ni kali mno

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Unakumbuka mwaka Jana wakati simba alipokuwa anashinda mechi zake kihalali kabisa upande wa pili walikuwa wanalalamika kwamba simba anabebwa na tff na marefa?
Ndio ilivyo mkuu.
Shabiki wa Yanga anaumia na ushindi wa Simba, hivyohivyo kwa shabiki wa Simba hawezi kufurahishwa na ushindi wa Yanga. Na hii nchi tumejigawa nusu kwa nusu hivyo ifikie mahali tujizoee tu na huu unazi wetu.
 
Back
Top Bottom