Kuna Haja ya Kuzuia Uingizwaji wa Vifaa vya Electronics Vilivyotumika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Haja ya Kuzuia Uingizwaji wa Vifaa vya Electronics Vilivyotumika?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ramthods, Apr 18, 2010.

 1. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ndugu wadau JF,

  Hivi karibuni jirani yetu Uganda alipitisha sheria ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya electronic vilivyotumika kufuatia ongezeko la uchafu unaotokana na vifaa hivi nchini. Pia, Kenya nayo imetoa pendekezo la kuzuia kuingizwa nchini vifaa vye electronic vilivyotumika. Hii ni pamoja na used computers, ambazo ndio huingia kwa wingi ukilinganisha na bidhaa nyingine.

  Sina uhakika kama hapa kwetu Tanzania tuna mchakato kama huu. Na pia, sijajua ni wapi zinakoweza kupatikana data ni kiasi gani cha uchafu Tanzania inazalisha kutokana na bidhaa hizi zilizotumika toka nchi za nje, na ni kiasi gani bidhaa kama hizi zinatusaidia, iwe kiuchumi, kielimu au katika secta nyingine.

  Je, kuna haja ya kuzuia used electronic products from being imported into our country?

  Links:
  Uganda effects ban on used electronics imports, controversy continues

  Kenyan government suggests ban on second-hand computers
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
 3. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,827
  Likes Received: 20,815
  Trophy Points: 280
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Huwezi kuiga iga tu sheria jamani. Uwezo wetu wa kifedha ni mdogo. Shule nyingi zinakompyuta au vifaa vingi ambayo sio tu ni misaada bali pia ni used.Kingine purchasing power yetu wengi tunaijua .kukimbilia kupiga marufuku kitu bila kufanya research ni kukurupuka. U can only do that kama unjia ya kulinda viwanda vya ndaniamabvyo sisi tanzania sana sana tuna kiwanda cha waya

  Binafsi sijafanya research lakini chukuli mfano mdogo tu wa kuzuai kuingiza ncini gari used.

  Mzizimkavu kuzuia vitu vilivyobatizwa jina feki ni sawa na kucheza wimbo wa wamerakani na wa UK. we are not at the level ya kuita bidhaa za china feki. Let america na Europe say so Infact hizi bidhaaa zinazoitwa feki zingeweza kuibua ubunifu sabababu vitu kama ni kwenye simu au TV wanaweza wakapatikana mafundi wa vifaa hivyo wakadesign vitu vipya. Ni kwa style hii ndo maana china imefika ilipo.

  Kwa mtazamo hii neno feki ni vita ya kushindania masoko ya mataifa makubwa. wameaamua kubatiza bidhaa za china feki.

  Jamani tuache siasa hata tukiwa na posio za kufanya maamuzi lets make decison zinazoendana na mazingira na uwezo wetu. Naamini kuna vitu vinapendeza kusikia masikioni lakiniki hali halisi vinadumaza jamii.

  Mfano unazuia Sony ya china kwa manufaa ya nani?sony hawana hata Service center dar.Toyota hawafungui hata kiwanda cha kutengenza filter dar pampja na idadi na hizo zinazotoka kwao japan ni bei ghali kuna kosa kuwa filter za kichina???? Au mtanazania ana uwezo wa kuunda mafriji na anayabatiza jina la philips kwa tanzania atafungwa hata bila philips kulalamika wala kujua .
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hizi bidhaa yuzd wakati mwingine zinaletwa huku dampo. Jambo la maana kufanya ni kuhakikisha ubora wa hizo yuzed kwa kuzikagua (Bado tunazihitaji jameni), hatuwezi kukafodi brand new electronics labda za kichina low grade!!!
   
 6. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Bidhaa feki toka China zimeshapigwa marufuku tayari - tatizo ni utekelezaji mbovu. Ila used computers hazijapigwa marufuku bado. So hilo ulilosema hapo juu tayari limeshafanyika, na ni jukumu la FCC.

  Pili, kwani hizi bidhaa feki zinazoagizwa toka nje China, huja kuuzwa hapa nchini au hutolewa zawadi?

  Hakuna bidhaa feki zinazotolewa kama zawadi, ila kuna used computers nyingi sana zinazoingizwa kama misaada kwa mashule na taasisi mbali mbali zinazohitaji kutumia computers - na hii ndio changamoto hasa.

  Tatizo naloliona kwenye bidhaa feki za China lipo kwa watanzania wenyewe. Hakuna mtu anayelazimishwa kununua bidhaa feki (labda kama huwezi tofautisha feki na original), watu wananunua kwa hiari yao wenyewe kuepuka gharama. Kama bidhaa feki zingekuwa hazina soko, wafanyabiashara wasinge ziingiza kwa wingi kama ilivyo leo. Sasa hapa wa kumlaumu ni nani, serikali au wanunuaji?
   
 7. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Well said mtazamaji.

  Ningependa kukumbusha wana JF kuwa hata kwenye used cars kuna JAAI test. Kwa wasiofahamu JAAI ni nini, ningependa kuwaambia kuwa hichi ni chombo kinachoangalia ubora wa magari yanayoingizwa nchini. Je, chombo gani kinaangalia ubora wa used computers?

  Nadhani kila mnunuaji ana haki ya kupata kitu sawa sawa na thamani halisi ya fedha anayotoa. Tunahitaji bidhaa bora, kulingana na purchasing power yetu. Hata kama tunapewa bure, bado si sababu ya kuleta taka taka nchini.

  Na kwa Tanzania kuangalia kudhibiti uingizwaji wa bidhaa zilizotumika nchini hauta kuwa uamuzi kwa kukurupuka. Kama Kenya na Uganda wameona kama hii ni ishu, nadhani pia inajenga changamoto kwa Tanzania. Panapofuka moshi pana moto - na me nadhani kuna kitu kimewafikia hawa majirani zetu na hivyo ni vyema nasisi tukachunguza hapa nyumbani faida na hasara za used electronics products ili tuweza fanya maamuzi sahihi.
   
 8. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,827
  Likes Received: 20,815
  Trophy Points: 280
  unaposema wimbo wa USA na UK una maanisha nini?most of uk/us electronic goods zinatoka china na zina quality ya hali ya juu,but wakileta kwetu wanatuletea vitu vibovu,hapa ndio tatizo.
  na vitu vya china vinavyokuja bongo ni feki na expensive kuliko vitu original wanavyoleta UK nitakupa mifano michache ni simu na lcd/plasma tvs.
  kwahio hapa buying power sio issue kwa sababu vitu feki wanavyonunua watz kutoka china ni expensive kuliko original vinavyouzwa UK
  2005 nilinunua PHILIPS DVD PLAYER inaplay dvd/vcd/cd-R/cd-rom kwa £25 in UK=TSH 50,000 hii dvd player mpaka sasa ninavyoandika hii msg inafanyakazi,je ya kichina hapo bongo ukinunua kwa tsh 50,000(if possible) itakaa hata 3months?
  LAZIMA TUCHUKUE HATUA DHIDI YA BIDHAA FEKI KUTOKA CHINA
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hawaleti vitu vibovu wanaleta vitu used. msihukumu tu jamani . Msishahu umeme wetu wa TANESCO Tanzania. Infact matatizo mengi ya vifaa vya electronic yansabishwa na umeme. Hata ukinunua brand New item ya wapi kuna probability ya matatizo ndio maana kuna Support center na website na vitu kama warranty vitu amabyo ukinunua used huwezi kupata.

  Kuna vifaa au Model vimetengenzwa kutomvumilia sana shaking ya umeme . sasa ukinunuanua umeme ukashake usiseme ni fake. We should try to search and solve the TRUE problem sio EFFECT of the problem.

  Nakumbia tuspoangalia tutachukua hatua ambazo tutajikuta tumejiweka katika mazingira ya sisi. kuwa masoko yao ya kudumu. na kuzuia ubunifu hata wa wanachi ndani ya nchi ka akisingizo hicho hicho cha fake.
   
 10. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mkuu, hizi bidhaa feki nyingi tunaenda kuzichukua wenyewe ukilinganisha na zile ambazo wachina wanaleta wenyewe hapa kwetu. Mbona wafanya biashara wetu hamwalaumu, mnawalaumu wachina na wakati bidhaa tunazifuata wenyewe!

  Maslahi ya watanzania yanatakiwa kulindwa na watanzania wenyewe, na wachina wahawezi kulinda maslahi yetu. Kuendelea kununua bidhaa feki ni ishara kwamba tunazipenda na hakuna haja ya kulalamika!
   
 11. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,827
  Likes Received: 20,815
  Trophy Points: 280
   
 12. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Huo ndiyo ukweli. Bidhaa nyingi sasa hivi zinaagizwa na kuingizwa na wafanyabiashara wa Kitanzania wenyewe. Pili, kuna sharti la ukaguzi (inspection) wa bidhaa zinazoingizwa nchini. Ukaguzi unaweza kufanyika katika nchi zinakotoka bidhaa au baada ya kufika nchini. Swali la kujiuliza ni, hivi huo ukaguguzi unafanywa? Kama unafanywa mbona bidhaa bado zinamiminika nchini. Sasa mnataka Mchina ndiye hatufanyie ukaguzi au ni jukumu letu sisi wenyewe? halafu siyo Wachina pekee wanaotengeneza bidhaa feki au vyenye ubora duni. Kuna nchi zingine kama Indonesia, Thailand, Vietnam na Hong Kong. Mbona hamzisemi? Au mnaimba kwa sababu wazungu ndio wanaongoza kwaya? Kwa maoni yangu used electronics bado tunazihitaji kwa sababu brand new electronics hatuziwezi. Ni wachache watakaomudu. Kwa nini tusiongelee kupiga marufuku mitumba inayotudhalilisha ikiwamo chupi, sidiria, soksi, viatu, na uchafu mwingine kwanza. At least hapa kuna mbadala ambao ni nguo rahisi kutoka China na nchi zingine za mashariki ya mbali. Na vile vile inaweza kusaidia kufufua viwanda vyetu vya nguo. Hatuna vya electronics.
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Hiyo Mkuu kwa mawazo yako na Mtazamo wako jaribu kuchunguza yale niliyoyasema kuwa Vitu toka china ni Bidhaa Feki Huo ndio Ukweli Wangu Ukatae au Ukubali.Kwa sababu zangu hivyo Vitu toka china kwanza Wanauza kwa bei nafuu kisha havidumu ukitumia basi ni kwa muda wa miezi 6 baada ya mwezi wa sita kitakuharibikia wakati wowote ule sasa itabidi uwe unanunuwa kila kifaa kinachotoka China kila baada ya miezi 6? Utakuwa na pesa ngapi kumudu kununuwa vitu Feki toka China? kwa mfano mimi nilinunuwa Feni inayokaa chini ya Laptop ya kuifanya Laptop isiweze kupata joto sana nilinunuwa kwa thamani ya Dolla20 za kimarekani matokeo yake nimetumia muda wa miezi 3 imeshakufa Banka la Feni yake ikavunjika kazi ndio ikawa kununuwa ingine tena kwa Dolla30 ambayo ninaitumia mpaka sasa na mfano mwengine nilinunuwa Graphic card ya NVDA nimeweka kwenye Computer yangu ya Desktop (Kompyuta ya mezani) matokeo yake nikicheza Game kwenye Computer yangu ina Freez and crashes nikaja kugunduwa kumbe ilikuwa ni Graphic Card ya Model ya NVDA nikaitowa na kuweka Graphic Card ya ATI na kuitowa hiyo Graphic Card ya NVDA kuweka Graphic Card ya AtI mambo yakawa powa naweza kucheza Games yoyote ile bila ya matatizo na computer yangu sasa ipo powa wala haigandi tena au Ku Crash sasa utaniambia kuwa vitu vya kichina ni Powa? Amkeni wabongo acheni kununuwa Vitu Bei yake ubwete toka Uchina matokeo yake mnapata hasara kununuwa tena
   
 14. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wa Bongo Bwana!
  Eti zisiletwe bidha feki nchini zinachafua na kuigeuza nchi kuwa Dampo!
  Nchi kuwa dampo mara ngapi?
  Hapa Bongo ni pachafu sana na wachafuaji wapo hapa hapa.
  Barabara zetu chafu
  Masoko machafu!
  Miji yetu michafu na haina mpangilio!
  Nyumba na mazingira tunamoishi kuchafuchafu na wachafuaji sie!
  Wabongo wenyewe wachafu na ndio sababu tunaugua magonjwa ya uchafuchafu kama Kipindupingu!
  Sasa tunaangalia wachina watachafua nchi na bidhaa zao! Ajabu
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280

  Chinese Fake Brands

  · Filed under Interesting Stuffs
  Fake brands are rampant in China sold with unreasonably low prices at marketplaces. Foreign companies have frequently complained of trademark violation. China recently has also cracked down on fake brands by closing down business retailers in order to build a better positive image to outsiders. Check out some 19 fake brand pics after the jump.
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  http://www.hemmy.net/2007/04/29/chinese-fake-brands/
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Fake Products

  · Filed under Interesting Stuffs
  [​IMG] Fake products are found worldwide and they are usually poor quality sold at a fraction of the original price. Some of these opt to name themselves similarly after popular brand names to trick consumers into buying them. From the Polystation to KLC, most of these names just fell flat of anything creative.
  Check out the fake products and their fascinating brand names with 21 more pics after the jump.


  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  ‘Perfect’ Fake Electronics From China Outdo Originals bigsale Nov 26th, 06, 08:30 AM #1 (permalink) To say that imitations are selling like hot cakes in China is to state the obvious: the country’s capability to copy premium products is close to perfect. In some cases, made-in-China imitations are pushing the originals out of the market.

  Fake products threatening originals

  [​IMG]
  The original Chocolate phone by LG Electronics (left) and the fake a Chinese company released in China before the original hit the market there.

  When LG Electronics released its Chocolate phone in the Chinese market in May, copies had already been available for some time. The phone was first released in Korea at the end of November last year, but it took the company three to four months to develop another version to meet customer needs in China. A Chinese company seized the window of opportunity to launch a fake Chocolate phone there first. "Chinese people think it’s LG Electronics that manufactures the fakes,” a staffer with the Korean electronics giant said. "We were really surprised to see the imitation Chocolate phone: it was exactly like the real one in design and in the way the touch pad was attached in the front.”

  [​IMG]
  PlayStation Portable by Sony (top) and a fake PSP phone by a Chinese company.

  Recent online brouhaha over a fake PlayStation phone also shows how much Chinese counterfeit products have evolved. PlayStation Portable or PSP is a portable game player developed by Japan's Sony. There have been rumors that Sony is developing an accessory for PSP to support a mobile phone function, and a Chinese company actually released one that looks like PSP. This led to online rumors that Sony itself had released a PSP phone. What’s more, the fake is selling at around US$650, as expensive as high-end phones by Samsung Electronics or Sony Ericsson, let alone cheap rip-offs.


  [​IMG]
  A Chinese manufacturer uses the Samsung trademark for imitations of Korean goods. The name 'Samsumg' -- not 'Samsung' and 'Amycall' -- not 'Anycall' - can be seen at the bottom of the screen.

  Samsung Electronics executives are fuming because retailers are selling a copy of Samsung’s Blue Black Phone Ⅱ even before the original has been launched in the Chinese market.

  [​IMG]
  The Hyundai Santa Fe (left) and Huanghai Automobile’s SUV

  Hyundai Motor is considering legal action against a Chinese carmaker that presented a SUV that in parts looks identical to the new-model Santa Fe at the 2006 Beijing Auto Show. The altercation is the most serious spat in the car industry between the two countries over knock-off brands yet.

  Industry insiders are convinced that the front design of a Huanghai Automobile car unveiled at the show is a virtual replica of the Hyundai Santa Fe, including an identical radiator grill and head lamps. The Chinese car’s side and rear, meanwhile, look oddly like those of another Korean car, the Kia Sorento. A Hyundai official said the Korean auto giant will take legal action if the Chinese copycat adversely affects sales of the new Santa Fe in China.

  [​IMG]
  iPod Shuffle (2nd gen) clone released before the real one in China

  Hot sales of the iPod has sparked vendors to manufacture iPod-like MP3 players with fake iPod Shuffle appearing in China, according to local makers of MP3 players. Other branded MP3 player makers have also suffered the same issue, noted the makers.

  Taiwan-based Ergotech and Korea-based MPIO both encountered similar problems recently, finding that the price difference between the fake models and the real item could be as high as 40-50%. Sales of the fake MP3 players are even sold through local TV shopping channels with brisk sales, according the makers

  A thriving industry

  Companies here say they can do little about the thriving counterfeit industry in China. Most of the companies involved in the business are very small and hard to crack down on as they work in a cut-and-run way. There are dozens of such businesses in China: they hire highly skilled engineers to make counterfeit products that are virtually as good as the originals within one or two months of their release. Each has a staff of some 20-40 people who copy circuit diagrams once the original is released. That is then handed to a manufacturer, who produces 20,000-30,000 counterfeit units and disappears.

  Samsung Electronics smoked out one such organization recently by tracking down the distribution channel on its own and offered their designers a job with the company. The organization had been able to decode circuit diagrams Samsung made. But the designers turned down the offer, saying they can make W100-200 million (US$1=W930) every time they succeed in producing a perfect fake, so there was no incentive to work for Samsung. "Due to the surge in imitation products, we keep new product design and functions highly confidential before release even within the company,” a Samsung executive said.

  Source: http://english.chosun.com/w21data/ht...611240009.html
  Sponsored Links:
  [​IMG]
  Intel Q6600@3600 | Scythe Infinity | ASUS P5K3 Deluxe | 8GB Kingston DDR3 | OCZ XTC 2 | ASUS EAH5970 2GB | Creative X-Fi Fatal1ty | 500GB & 1TB WD Caviar Black | CoolerMaster Silent Pro 1000W | SilverStone TJ07-BW | Dell 3007WFP

  http://forums.vr-zone.com/news-around-the-web/109379-perfecta-fake-electronics-china-outdo-originals.html
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni kwamba hatuna capacity ya kudhibiti CHOCHOTE..taifa lililoshindwa, watu ambao ni wataalamu waliotakiwa kutoa sauti zao kueka mustakabali wa taifa vile inavotakikana wooote wamegeuka wachumia tumbo kwenye siasa. Ukweli ni kwamba used computer na vifaa vinginevo vya ki-electronic shughuli yake ya ku-dispose ni expensive sana, na hao wanaoviduimp hivo vitu kwetu wanajua wanachokifanya, na ni ujinga kuchukulia kwamba ni MSAADA. Nina uhakika kwa 99.99 % bongo hamna means yeyote ya ku-recycle hizi products kwa namna yeyote ile. Nilipata kuona watu wanakusanya tu vibetri hivi vya kuchezea redio nk, ambazo sijui zilikuwa zinaenda kuwa recycle into what, lakini bidhaa nyingine nadhani ndio inakula kwetu hivo.
   
 19. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35

  I went through the thread and I see two issue here;

  One, I think your concern is on those used equipment that come into the country as "msaada" - and not so much on the used stuff that wazawa import to resale. My opinion is, it is easy to control the former (misaada ya old computer), but not so sure if the later can be regulated.

  Second, while used computer may raise environmental concerns (toxic dumping), they can also spur a "recycling industry". I don't remember where, but I know I have seen somewhere people are making money recycling the components including the copper on the motherboard....So dumping may not be a bad thing, somehow.

  My 0.2
   
Loading...