Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,315
- 6,845
Nanukuu kampeni za mgombea huyu huko Igunga;Nitaanza na vijana>>vijana hamna kazi,mnakaa vijiweni bila kazi>>vijana mna 'very problems'>>Ninyi ni kama solar panels,mnachomeka juani muda wote>>mkinichagua,watoto wenu hawataenda na majembe shuleni na badala yake nitauza VX langu ili ninunue powertiller kwa kila shule>>Vijana nitawapa ajira ya kuendesha matrekta ya kijiji nitakayoyanunua>>Nitaajiri wataalam kutibu ng'ombe wenye kupe na nitawalipa kwa U.S dollars na British pounds kwa sababu shilingi haina thamani(mwisho wa kunukuu).Yaaani hopeless kabisa huyu mgombea,CHADEMA kibarikiwe.
Ili angalau wachukuliwe hatua za kinidhamu ndani ya vyama vyao, au chama husika kiwajibike kwa ujumala kwa kupitisha mgombea ambaye hafai. Badala ya kwenda kutangaza sera ili watu wamchague kwa kupitia hizo, anaenda kuwapotezea muda wananchi kwa kuwakejeli/kuwa-corrupt mawazo yao!