Acha ujinga fanya kazi.....Wakuu habari ,hivi kibanda cha chips ukitaka kukifungua Kama unayo leseni ya biashara Kuna haja ya kupata kibali TFDA au hiyo leseni na TIN niliyonayo inatosha ...naomba kuwasilisha na ningeomba ufafanuzi kwa wazoefu
Hapo sawa mkuu ,kazi isongeshwe tu kumbeUkishaita kibanda unatakiwa uanze kazi maramoja. Lebo yako ni machinga. Piga kazi mkuu. Hata kama utafuatiliwa na hao maafisa unawaomba muda urekebishe tu. Sizani tofauti na bibi afya na bwana afya kuna mengi sana. Kinachoangaliwa ni ukubwa kiasi gani cha biashara yako ndio itakupa kundi unalotakiwa kuwepo. Wengi wenye vibanda hawamjui yeyote zaidi ya bwana/bibi afya.
Sent using Jamii Forums mobile app