Kuna haja ya kutumia nguvu zote hizi?

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Inadaiwa mtu huyu alitaka kuonana na Jk kwa kutumia nguvu, bila kufuata taratibu.
Na askari nao wakamchangia kwa kutumia nguvu mara dufu.

2.JPG
 
tatizo ni kwamba, haujui ubishi wa hao watu, wanatumia icho kama kigezo kwamba hawawezi kuguswa hata wakifanya lolote. hapa sheria inatakiwa kufuatwa kwa watu wote, walemavu kwa wasio walemavu. huwezi kumaproach rais iviivi bila utaratibu. kama umeshika bom je, ao jamaa wenye magwanda si watapoteza kibarua chao kuwa hawakuwa makini kumlinda mkuu wao?
 
Yaani askari walikamata kama wanasenya kuni vile! Walahi wakati umefika wa kuipiga chini ccm ya uongozi wake!
 
. kama umeshika bom je, ao jamaa wenye magwanda si watapoteza kibarua chao kuwa hawakuwa makini kumlinda mkuu wao?
kwahiyo unamaanisha bora walinzi wafe ila rais apone? amakweli bora punda afe lakini mzigo ufike!
 
Halafu ustaadhi mwenzi kasimama pemebeni (kushoto kabisa) hata kumsaidia...sijui hao polisi ni waislamu au?
 
kila mahali pana utaratibu wake, tukiishi bila utaratibu hapa duniani pangekalika? usipofuata utaratibu, unatakiwa kukubaliana na lolote litakalotokea. however, naamini kuwa, kwa walemavu, nafikiri walideserve special treatment. hapo polisi wanaweza kuwa walipitiliza.
 
Back
Top Bottom