Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

Polisi tuwaachie masuala ya wrong parking,na kutembeza virungu,kwenye mikutano ya wapinzani.
Wanatumia mbinu gani kuua? Kwa nn wanaua? ,hayo maswali mbona majibu yake yako wazi. Huoni kuwa wanaua kwa risasi za moto. Pia,wanaua Ccm members. U can simply deduce from that. Issue hapo ni who are those killers and where do they come from? Who is funding them to do such killings of fellow tanzanians?
Wakuu ni wazi kuwa tunakoelekea Sasa Tanzania inaface insecurity kama Kenya Ambapo Askari wana popolewa kila na Alshaabab

Namshauri Rais na Timu yake ni wakati wa Kutumia Elite Special special force kama ya JWTZ Nina Imani tutauangamiza Mtandao wa Wahalifu hasa eneo la Kibiti.

Tumechoka na watu wanaua Askari wanapora silaha 8, Halafu siku hiyo hiyo Mtu anakuja kudanganya kwenye media kuwa tumeyakamata silaha ni kweli Unapunguza tension kwa wananchi lakini Mioyoni mwenu Mnajua Kua hamjakamata Silaha yeyote.

Pia Kiwepo kikosi cha Kuchunguza kwa Nini wanaouwawa ni watu wenye mahusiano ya Moja kwa Moja na Chama cha Mapinduzi Chuki hii imesababiswa na Nini na Imeanzia wapi?

Nina amini Military Operation ya JWTZ itazaa Matunda kwanza huwa wako friendly sana na Raia ulilinganisha Polisi.

Bado unaendelea kushauri nguvu na kutisha watu ndio vitumike kuliko akili, nafikiri wangefanya utafiti wakujua chanzo cha hayo mauaji kwanza, wajue ni nani/ kikundi gani kinahusika na wanatumia mbinu gani kutekeleza hayo mauaji. Jeshi sio mchezo ndugu yangu wakienda hapo itakua ni mwendo wa amri tu, kumbuka wanaouawa ni viongozi sio wananchi wa kawaida.
 
Since Kibiti pple are hosting and hiding those serial killers,it is now high time for Tpdf to intervene there for a military operation like the one that was conducted in Amboni gorges in Tanga. I am sure those terrorists will all be flashed out of those villages in Rufiji,Kibiti and Mkuranga.
 
Wakuu ni wazi kuwa tunakoelekea Sasa Tanzania inaface insecurity kama Kenya Ambapo Askari wana popolewa kila na Alshaabab

Namshauri Rais na Timu yake ni wakati wa Kutumia Elite Special special force kama ya JWTZ Nina Imani tutauangamiza Mtandao wa Wahalifu hasa eneo la Kibiti.

Tumechoka na watu wanaua Askari wanapora silaha 8, Halafu siku hiyo hiyo Mtu anakuja kudanganya kwenye media kuwa tumeyakamata silaha ni kweli Unapunguza tension kwa wananchi lakini Mioyoni mwenu Mnajua Kua hamjakamata Silaha yeyote.

Pia Kiwepo kikosi cha Kuchunguza kwa Nini wanaouwawa ni watu wenye mahusiano ya Moja kwa Moja na Chama cha Mapinduzi Chuki hii imesababiswa na Nini na Imeanzia wapi?

Nina amini Military Operation ya JWTZ itazaa Matunda kwanza huwa wako friendly sana na Raia ulilinganisha Polisi.
View attachment 511125
1423903222944.jpeg
 
View attachment 511125 View attachment 511126
View attachment 511128
Apelekwe yule aliyekuwa anasema ameapa sakata la Malima
 
Unajifariji tu. Wale wa Amboni gorge,Tanga wako wapi leo? Au wao walivaa magwanda?
Najifariji tena!!!!!.kivipi ndugu??

Hivi waliuawa wangapi??baada ya kuvunja pango nikumbushe nimesahau.

Maana bado watu wanaendelea kuniaga wanaelekea huko kukamata hao jamaa.

Kwani hawakuvunjwa vujwa wakapotea kabisa???
 
Ok,au ndo walikimbilia Kibiti wanakoua raia wasio na silaha? Na inaonekana unafurahia ujinga wanaoufanya kuua raia tena wanavijiji ,kwa kauli zako.
 
Wakuu ni wazi kuwa tunakoelekea Sasa Tanzania inaface insecurity kama Kenya Ambapo Askari wana popolewa kila na Alshaabab

Namshauri Rais na Timu yake ni wakati wa Kutumia Elite Special special force kama ya JWTZ Nina Imani tutauangamiza Mtandao wa Wahalifu hasa eneo la Kibiti.

Tumechoka na watu wanaua Askari wanapora silaha 8, Halafu siku hiyo hiyo Mtu anakuja kudanganya kwenye media kuwa tumeyakamata silaha ni kweli Unapunguza tension kwa wananchi lakini Mioyoni mwenu Mnajua Kua hamjakamata Silaha yeyote.

Pia Kiwepo kikosi cha Kuchunguza kwa Nini wanaouwawa ni watu wenye mahusiano ya Moja kwa Moja na Chama cha Mapinduzi Chuki hii imesababiswa na Nini na Imeanzia wapi?

Nina amini Military Operation ya JWTZ itazaa Matunda kwanza huwa wako friendly sana na Raia ulilinganisha Polisi.
View attachment 511125 View attachment 511126
View attachment 511128
Tatizo la mauaji ya maeneo ya Pwani ni kukosekana kwa taarifa sahihi sio nguvu ya kukomesha wauaji hao. Unaweza kuta muuaji ni mtu mmoja au wawili na mauaji ni ya kuvizia ambayo popote yanaweza kufanyika. Hiyo ni kazi ya polisi maana hatujasikia wauaji hao wakitumia milipuko wala silaha nzito, ni jukumu la polisi wafanye kazi yao kupitia makachero na ffu.
 
Hivi karibuni utamsikia siro anasema wamewaua majambazi watatu maeneo ya kibiti na kabla ya kufa majambazi yalikua yanasema ALLAH AKBAR,Kibiti boys sio kina ADAM MALIMA wakiendelea na mbinu zao za kukamata mateja kinondoni manyanya watakufa ovyo.The guys are well organized and equiped,waacheni wajeda wakapashe misuli moto
Unamanisha nn kiongozi??
 
Usipojua kitu kaa kimya JWTZ inautaalam wote na wakiamuwa kufanya kazi hawanaga ubabaishi wala kutaka sifa kwa vyombo vya habari Tatizo la police Tz kushuka kwao kwa Thaman ni kutokana na kufanya mambo yao hovyo hovyo mwanajeshi anakupigisha zoezi kimya kimya utasikia chini mara juu lakini police sifa zao zinawaponza sana hivi sasa hawana thamani katika jamii mtu ukimuuliza ukimuona Askar jwtz na police unakimbilia wapi atasema kwa mwanajeshi ile njia yake mzuri ya kukamata na kukuweka chini ya ulinzi mzuri kuliko police

Wewe bado Sana endelea kuwalisha wenzako matango mwitu .
 
Serikali inafanya kazi kubwa, kuuangamiza huu mtandao.
Mtoa mada heri ungeongeza tutoe ushirikiano kwa majeshi yote, kuuangamiza huu mtandao mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom