Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

Mheshimiwa Amiri jeshi Mkuu,

Kwa mauaji yanaoendelea huko suluhisho ni kuwepo kwa operesheni maalumu ya JWTZ ya kupita msitu kwa msitu, Nyumba kwa nyumba na vizuizi barabarani vya ukaguzi wa mfuko kwa mfuko kuanzia Kongowe vikindu, mkuranga kwenda mpaka somanga Kilwa.
Na wakutunguliwa huko?
 
kweli kabisa hata mimi nimewaza hivo.
 
Mheshimiwa Amiri jeshi Mkuu,

Kwa mauaji yanaoendelea huko suluhisho ni kuwepo kwa operesheni maalumu ya JWTZ ya kupita msitu kwa msitu, Nyumba kwa nyumba na vizuizi barabarani vya ukaguzi wa mfuko kwa mfuko kuanzia Kongowe vikindu, mkuranga kwenda mpaka somanga Kilwa.

Sio suluhisho hilo

Suluhisho ni katiba Mpya
 
Mie naona kutumia nguvu sio suluhisho, cha muhimu wajue chanzo cha tatizo, wasihangaike na dalili za tatizo au matokeo ya tatizo
 
apana hii ni kaz ya police pale itakapo onekana kuwa swala hili limewashnda polisi ndo wanaweza wakaingia wazee wa kaz wa kishirikiana na polisi wenyewe lakn 2tambue mgawanyo wa kaz kila jeshi na kaz yake akuna kuingilia majukum otherwise kuwe na dhalula sana ya kulazmika kufanya hvyo
Kama wameshindw hao policcm watamke hadharan ili na cc wananchi tujue wameshindwa, pia waseme kazi wanayoiweza ni ipi..
 
Mkuu kushindwa kudhibiti hayo mauaji ndio kushindwa kwenyewe huko..
Au ulitaka mpaka watangaze kuwa wameshindwa?
dah mkuu amna sio kama wameshinda inamana ukisema kuwa wameshindwa unamanisha vyombo vyote vya ulinz na usalama vmeshindwa kwa sababu mauji ya kibit vyombo vyote vinafanya kaz kule bado nakukatalia mkuu
 
Mkipeleka wajeda jamaa wanahamia chato kuendeleza libeneke lao!!!

Msininukuu vibaya.
 
Hakunaa hajaa yakuwasumbuaa wababa wawatuu. Gesh ra porice rinatosha sababu nikakundi kadogo tuu ndo maana kanapiga watu nakujifichaa kangekuwa tishio kajitokeze hazaran tukaonyeshee. Wananchi mtulie kibiti na mkuranga kuko salamaa yanayotokea hayajaanza Leo nimambo yakawaida tuu ilaa tutapambanaa naoo
 
Naona mmechoka kusikia polisi pekee wanakufa, mnataka na wanajeshi nao wakaonje utamu.

Rais ana washauri wanajua mambo kuliko wajuaji wa mitandaoni.

Tena wao wanakaaga kwenye mabasi yao kihasara.....
Tutahesabu vichwa tu.....

Inaonekana huko kibiti kuna wachora raket tu, wanatoa taarifa kwa watu walio mjini au msituni wanakuja kuwaua walengwa...

Watalundikwa wanajeshi watakuwa wanakula tu nguruwe pori hawatakamata mtu....
 
Back
Top Bottom