Kuna haja ya kupiga vita matumizi ya pombe na tumbaku

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Hi all

Tobacco and alcohol use,kills more than illegal drugs..............................

Kwetu sijui statistics zinasemaje,........................

Kama na kwetu ni hivyo hivyo then kuna haja ya kutangaza war on alcohol and tobacco use .............vita inahitajika ili hili wimbi la madawa liweze kufanikiwa kufutwa effectively...................................

Wangetangaza tax kubwa kwa wauzaji wa pombe na sigara...........

Hela inayopatikana,ijenge vituo vya waathirika wa madawa na pombe..................

Jioni njema.
 
Huwezi kulinganisha matatizo ya Ulaya /Nchi zilizoendelea na ya Tanzania yetu, Tanzania hakuna tatizo la Sigara au unywaji pombe kulikopindukia, ila kuna tatizo la Madawa ya kulevya!

Na kuliona hili hauhitaji Takwimu zozote zile, unaweza ukatembea Mji wowote ule Tanzania mimi nitaongelea Dar kwa siku nzima na usikutane na mtu anavuta Sigara, sasa kwa nchi zilizoendelea hilo haliwezekani hivyo utaona kwamba wavutaji Sigari hapa TZ ni wachache sana kuweza kuliita janga vivyo hivyo Pombe ni mara chache sana utatembea ukakuta watu wamelala mitaroni kwa Ulevi lkn Madawa ya kulevya ni rahisi kuona athari zake ukifungua tu mlango ya nyumba/chumba chako!
 
Ingawa vifo vifo vinavyotokana na madhara ya tumbaku ni vingi lakini haviijaigharimu serikali kiasi cha kuona umuhimu wa kutangaza janga hili.
 
Tunataka wakemiawetu waseme nini hasa! kinaweza kututesa zahidi baada ya muda kadhaa kwanguvu,fikira,tegemezi,kwa taifa lakesho sio copy paste
 
Mkuu sio kwamna ni copy and paste

ila inatumika kama reference/guideline of how nchi za wenzetu wana deal vipi na vitu,

and therefore we make informed decision.
 
Na nchi za wenzetu wamewekeza sana katika kusaidia waathirika wa tumbaku, sisi bado tunachukulia matatizo ya mapafu yatokanayo na tumbaku kuwa ni kudra za Mwenyezi Mungu.
 
Huwezi kulinganisha matatizo ya Ulaya /Nchi zilizoendelea na ya Tanzania yetu, Tanzania hakuna tatizo la Sigara au unywaji pombe kulikopindukia, ila kuna tatizo la Madawa ya kulevya!

Na kuliona hili hauhitaji Takwimu zozote zile, unaweza ukatembea Mji wowote ule Tanzania mimi nitaongelea Dar kwa siku nzima na usikutane na mtu anavuta Sigara, sasa kwa nchi zilizoendelea hilo haliwezekani hivyo utaona kwamba wavutaji Sigari hapa TZ ni wachache sana kuweza kuliita janga vivyo hivyo Pombe ni mara chache sana utatembea ukakuta watu wamelala mitaroni kwa Ulevi lkn Madawa ya kulevya ni rahisi kuona athari zake ukifungua tu mlango ya nyumba/chumba chako!

Tanzania halipigiwi kelele ndio maana huoni kama ni janga,

pia serikali ndipo wanapokupatia hela uko.

sio kweli madawa kulevya ni janga kiasi hicho,

ni kwamba yamekua highlighted kipindi hiki,

Mfano Makonda akalivalia ishu ya sigara,

utashangaa wote tutakavyoelekeza nguvu zetu huko.na kuwa ni 'janga'

jisomee hapa utaelewa Tanzania earns $50m from the tobacco industry
 
Siyo kweli, hilo halihitaki kupigiwa kelele na Serikali kuliona, kama uvutaji Sigara ungekuwa janga tungeliona hili Mitaani, mfano mdogo angalia sasa hivi kwenye familia yako au rafiki zako wa karibu ni wangapi wanavuta Sigara au walevi wa kupindukia?
 
Huwezi kulinganisha matatizo ya Ulaya /Nchi zilizoendelea na ya Tanzania yetu, Tanzania hakuna tatizo la Sigara au unywaji pombe kulikopindukia, ila kuna tatizo la Madawa ya kulevya!

Na kuliona hili hauhitaji Takwimu zozote zile, unaweza ukatembea Mji wowote ule Tanzania mimi nitaongelea Dar kwa siku nzima na usikutane na mtu anavuta Sigara, sasa kwa nchi zilizoendelea hilo haliwezekani hivyo utaona kwamba wavutaji Sigari hapa TZ ni wachache sana kuweza kuliita janga vivyo hivyo Pombe ni mara chache sana utatembea ukakuta watu wamelala mitaroni kwa Ulevi lkn Madawa ya kulevya ni rahisi kuona athari zake ukifungua tu mlango ya nyumba/chumba chako!
Kichwa maji, madhara hayapimwi kwa watu kulala mitaroni. Kwani mirungi inavyopigwa vita inawalaza watu mitaroni?

Tumbaku ina madhara kuanzia shambani hadi kwenye vituo vya dala dala. Watu wanapata saratani na ugumba
 
Siyo kweli, hilo halihitaki kupigiwa kelele na Serikali kuliona, kama uvutaji Sigara ungekua janga tungeliona hili mitaani, mfano mdogo angalia sasa hivi kwenye familia yako au rafiki zako wa karibu ni wangapi wanavuta Sigara au walevi wa kupindukia?
Madhara ya Sigara huwezi kuyaona kwa kuangalia watu mitaani kama yalivyo madhara ya madawa ya kulevya na Pombe,
Laiti vifua vya binaadamu vingekua na vioo/glass ndio ungeyaona madhara ya Sigara mubashara,

Hebu tuache kuongea kwa hisia,kama kuna mtu ana takwimu za madhara ya hivyo vitu kitaifa aweke hapa.
 
Kichwa maji, madhara hayapimwi kwa watu kulala mitaroni. Kwani mirungi inavyopigwa vita inawalaza watu mitaroni?

Tumbaku ina madhara kuanzia shambani hadi kwenye vituo vya dala dala. Watu wanapata saratani na ugumba

Lkn bado huweza kulinganisha na Nchi ziizolelndelea, Tanzania hakuna hakuna janga la Uvutaji Sigara wala ulevi!
 
Madhara ya Sigara huyawezi kuyaona kwa kuangalia watu mitaani kama madhara ya madawa ya kulevya na Pombe,
Laiti vifua vya binaadamu vingekua na vioo/glass ndio ungeyaona madhara ya Sigara,

Hebu tuache kuongea kwa hisia,kama kuna mtu ana takwimu za madhara ya hivyo vitu kitaifa aweke hapa.

Sijasema kuwa sigara hazina madhara, bali nimesema siyo kama nchi zilizoendelea, hapa kwetu wavutaji sigara siyo wengi sana!
 
Lkn bado huweza kulinganisha na Nchi ziizolelndelea, Tanzania hakuna hakuna janga la Uvutaji Sigara wala ulevi!
Kwasababu zile takwimu zote za cancer ya mapafu pale Ocean Road ni kutokana na kudra za Mwenyezi Mungu.
 
Sijasema kuwa sigara hazina madhara, bali nimesema siyo kama nchi zilizoendelea, hapa kwetu wavutaji sigara siyo wengi sana!
Mkuu, unajua idadi ya wale wanaovuta tumbaku ile inayotoka shamba wala si wanunuzi wa sigara?
 
Back
Top Bottom