Kuna haja ya kuongeza vigezo vya kumpata Rais, awe mchumi au mfanyabiashara

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
819
1,320
Kwa hali ilivyo imenifanya kufikiria mengi sana,nimeanza kufikiria upande wa utawala/uongozi nikagundua kua uongozi/utawala ni karama ambayo mtu huzaliwa nayo na unajijua kama ni kiongozi au sio kiongozi kwa kujiangalia wewe na familia yako hapo ulipo , je unafamilia iliyona furaha na amani? je migogoro ya kifamilia au ya ndoa ndani ya nyumba yako au mahusiano yako unaitatua vipi ? je una ndoa iliyothabiti ya mfano wa kuigwa ? Kama ndoa yako inachechemea iko taabani halafu system au mfumo wa nchi au mfumo wa kazi unayofanya inakulazimisha kuendelea kuibeba hiyo ndoa au familia au mahusiano lakini kwa upeo wako umeshindwa basi wewe sio Kiongozi katafute msaada kwa wanadiplomasi waliobobea katika masuala ya mahusiano au masuala ya ndoa.....HUFAI KUA KIONGOZI

Nikaja kufikiria upande wa Kiuchumi,kwa hali ya nchi ilivyo sasa hivi kiongozi au mtawala inabidi angalau awe na upeo wa kufanya biashara ya aina yoyote au awe na uwezo wa kumiliki pesa na kuzifanyia maamuzi sahihi ili zijizalishe na kuongezeka,kiongozi mzuri ni yule anaeweza kusimamia matumizi ya pesa,kama familia yako au ndoa yako au mahusiano yako kila mnapopata pesa mnashindwa kuitumia vizuri na mwisho wa siku inaleta ugomvi mkubwa mahali ulipo wewe hufai kua kiongozi,na ukiangalia sehemu nyingi ambazo zimeshinda watawala wengi au viongozi wengi shida kubwa ni matumizi mabaya ya pesa yaliyopelekea uchumu kuyumba vibaya na kujikuta nchi au familia au mahusiano mnaangukia pua.

Kama huna vyote ue tayari kujifunza kwa watu ambao tayari wao wamefanikiwa kwa nyanja walipo usiwe mkorofi na kukataa kila unachoshauriwa eti kwa sababu labda anaekushauri ni mdogo kwako au ana mamlaka madogo kuliko wewe hivyo unaona kama anakuaibisha,you are wrong !!!!

Sasa ndugu mwana JF we angalia hizo sifa hapo juu kama kiongozi wako hana hata moja hakufai,mimi nimewasilisha hizo kwa mawazo yangu karibuni mchangie....!
 
Utawala wa Uchumi na kuongoza au kutawala binadamu ni vitu viwili tofauti. Watawala wazuri waliopata kuongoza binadamu wenzao kwenye mafaniko home affairs [familia yake na mkewe] hawakuwa wazuri kihivyo ila walikuwa wazuri kuongoza familia za ukoo ama jamii zao kwa ujumla.
Kwa kuwa concentration zao mapenzi yao upanuka zaidi kwa kuona mafaniko mpaka kwenye nyumba za wanandugu wengine na si ndani ya mji wake pekee.Hivyo kuwa mzuri kwenye kufanikiwa kiuchumi sio kuwa ndio utakuwa mzuri kuinua maisha ya mamilioni ya wananchi wenzio.Tena walio wengi ndio sifuri kabisa mfano huo Donald Trump.
 
Kwa hali ilivyo imenifanya kufikiria mengi sana,nimeanza kufikiria upande wa utawala/uongozi nikagundua kua uongozi/utawala ni karama ambayo mtu huzaliwa nayo na unajijua kama ni kiongozi au sio kiongozi kwa kujiangalia wewe na familia yako hapo ulipo , je unafamilia iliyona furaha na amani? je migogoro ya kifamilia au ya ndoa ndani ya nyumba yako au mahusiano yako unaitatua vipi ? je una ndoa iliyothabiti ya mfano wa kuigwa ? Kama ndoa yako inachechemea iko taabani halafu system au mfumo wa nchi au mfumo wa kazi unayofanya inakulazimisha kuendelea kuibeba hiyo ndoa au familia au mahusiano lakini kwa upeo wako umeshindwa basi wewe sio Kiongozi katafute msaada kwa wanadiplomasi waliobobea katika masuala ya mahusiano au masuala ya ndoa.....HUFAI KUA KIONGOZI

Nikaja kufikiria upande wa Kiuchumi,kwa hali ya nchi ilivyo sasa hivi kiongozi au mtawala inabidi angalau awe na upeo wa kufanya biashara ya aina yoyote au awe na uwezo wa kumiliki pesa na kuzifanyia maamuzi sahihi ili zijizalishe na kuongezeka,kiongozi mzuri ni yule anaeweza kusimamia matumizi ya pesa,kama familia yako au ndoa yako au mahusiano yako kila mnapopata pesa mnashindwa kuitumia vizuri na mwisho wa siku inaleta ugomvi mkubwa mahali ulipo wewe hufai kua kiongozi,na ukiangalia sehemu nyingi ambazo zimeshinda watawala wengi au viongozi wengi shida kubwa ni matumizi mabaya ya pesa yaliyopelekea uchumu kuyumba vibaya na kujikuta nchi au familia au mahusiano mnaangukia pua.

Kama huna vyote ue tayari kujifunza kwa watu ambao tayari wao wamefanikiwa kwa nyanja walipo usiwe mkorofi na kukataa kila unachoshauriwa eti kwa sababu labda anaekushauri ni mdogo kwako au ana mamlaka madogo kuliko wewe hivyo unaona kama anakuaibisha,you are wrong !!!!

Sasa ndugu mwana JF we angalia hizo sifa hapo juu kama kiongozi wako hana hata moja hakufai,mimi nimewasilisha hizo kwa mawazo yangu karibuni mchangie....!
Kwa hiyo Lowassa mwenye degree ya usanii hafai?
 
Marais wa nchi zinazoongoza kiuchumi duniani kama USA,Germany, China, UK sio wachumi na wanafanya vizuri!

Tuna vichwa vigumu kiasi gani mpaka rais hashindwe kujifunza basic economics kwa muda mfupi
 
Tulimpata JK mchumi lakini alitukanwa kila aina ya matusi
Sasa hivi waliomtukana wanamlilia
 
mleta mada hujionei huruma eenh hiyo paragraph ya kwanza inaweza kukusweka ndani na faini juu, hali ngumu sidhani km hata utapata msaada wa kuchangiwa
 
Kwa hali ilivyo imenifanya kufikiria mengi sana,nimeanza kufikiria upande wa utawala/uongozi nikagundua kua uongozi/utawala ni karama ambayo mtu huzaliwa nayo na unajijua kama ni kiongozi au sio kiongozi kwa kujiangalia wewe na familia yako hapo ulipo , je unafamilia iliyona furaha na amani? je migogoro ya kifamilia au ya ndoa ndani ya nyumba yako au mahusiano yako unaitatua vipi ? je una ndoa iliyothabiti ya mfano wa kuigwa ? Kama ndoa yako inachechemea iko taabani halafu system au mfumo wa nchi au mfumo wa kazi unayofanya inakulazimisha kuendelea kuibeba hiyo ndoa au familia au mahusiano lakini kwa upeo wako umeshindwa basi wewe sio Kiongozi katafute msaada kwa wanadiplomasi waliobobea katika masuala ya mahusiano au masuala ya ndoa.....HUFAI KUA KIONGOZI

Nikaja kufikiria upande wa Kiuchumi,kwa hali ya nchi ilivyo sasa hivi kiongozi au mtawala inabidi angalau awe na upeo wa kufanya biashara ya aina yoyote au awe na uwezo wa kumiliki pesa na kuzifanyia maamuzi sahihi ili zijizalishe na kuongezeka,kiongozi mzuri ni yule anaeweza kusimamia matumizi ya pesa,kama familia yako au ndoa yako au mahusiano yako kila mnapopata pesa mnashindwa kuitumia vizuri na mwisho wa siku inaleta ugomvi mkubwa mahali ulipo wewe hufai kua kiongozi,na ukiangalia sehemu nyingi ambazo zimeshinda watawala wengi au viongozi wengi shida kubwa ni matumizi mabaya ya pesa yaliyopelekea uchumu kuyumba vibaya na kujikuta nchi au familia au mahusiano mnaangukia pua.

Kama huna vyote ue tayari kujifunza kwa watu ambao tayari wao wamefanikiwa kwa nyanja walipo usiwe mkorofi na kukataa kila unachoshauriwa eti kwa sababu labda anaekushauri ni mdogo kwako au ana mamlaka madogo kuliko wewe hivyo unaona kama anakuaibisha,you are wrong !!!!

Sasa ndugu mwana JF we angalia hizo sifa hapo juu kama kiongozi wako hana hata moja hakufai,mimi nimewasilisha hizo kwa mawazo yangu karibuni mchangie....!
Kuwepi pia na utaratibu wa kuwapima afya zao hasa akili
 
sijui kama huwa mnatafakari mnachoandika..Au mnaandika kinachokuja tu kichwani muda huo halafu mnaharisha..Kabla ya kujifanya wewe mchambuzi lazima uhakikishe ubongo wako umepanuka kisawa sawa. Kwa maana una content ya kutosha kichwanii kwa hiyo unaivhukua content na kuzicontrast na kisha kuzicontextualize mpaka unapata analysis inayoeleweka sio huu uharo mnaoandikaa
 
Marais wa nchi zinazoongoza kiuchumi duniani kama USA,Germany, China, UK sio wachumi na wanafanya vizuri!

Tuna vichwa vigumu kiasi gani mpaka rais hashindwe kujifunza basic economics kwa muda mfupi
Kwasababu wao kina Germany, China na wengineo wana system nzuri kuanzia ngazi ya chini hadi juu, kwahiyo Raisi kuwa mtu wa uchumi mahiri au mfanyabiashara aliefanikiwa sio lazima.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom