Kuna haja ya kuimba tena hizi nyimbo?

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Kama tulijifunza tokea utoto wetu kuipenda sana nchi yetu Tanzania kwa Mioyo yetu yote na kuiota kila tulalapo na kuona heri kila tuamkapo, ....


Na kama tunaiba tokea utoto wetu, mungu aibariki nchi yetu Tanzania ili uhuru, umoja na upendano udumu na viongozi wetu wabarikiwe. Sasa kama viongozi wetu wakisahbarikiwa wanaanza kujiimua miyoni na kuwaka tamaa ya kujilimbikizia mali ughaibuni na hapa nyumbani na kuifanya nchi yetu isiwe nzuri tena..

Je, unadhani ipo haja tena ya kuendelea kuimba hizi nyimbo katika historia ya Taifa letu?..


[ame="http://www.youtube.com/watch?v=UXDh7OwlOOM"]http://www.youtube.com/watch?v=UXDh7OwlOOM[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=a0-6s9RYVtA&NR=1"]http://www.youtube.com/watch?v=a0-6s9RYVtA&NR=1[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=GP9-ZiISkmY"][/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=GP9-ZiISkmY[/ame]
 
Back
Top Bottom