Kuna haja ya kufanya maandamano kuwashinikiza Jaji Mkuu na Spika wajiuzulu

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,968
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
 
Mama alivyoingia ilipendeza angekuja na package yake full
Baraza la mawaziri
Wabunge
Spika na naibu wake
Jaji mkuu.
 
Kuna watu wanaenda kuvuliwa nguo hadharani.Hii kesi itaibua mambo mengi ambayo tulikuwa hatuyajui.Ila itakosa ule utamu wa PGO .
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Acha masihara bro..
 
Wenye ujasiri wa kuandamana nchi hii ni Wazanzibari tuu. Waliobakia ni waoga kama kunguru.
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Ili iweje?
 
Kwani haya yanayoendelea ni kwa utashi wa spika au hoja za kimahakama.....??

Mimi nadhani watu tunapaswa kupunguza jazba na kuruhusu akili zetu kutafakari juu ya jambo hili......

Haya mambo yote yapo bayana kama nyeti za mbuzi....
 
Back
Top Bottom