Kuna haja ya kuendelea kuwakumbatia viongozi hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya kuendelea kuwakumbatia viongozi hawa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Feb 18, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kutokana hali ya kisiasa, kiuchumi na kielimu kuchafuka tanzania naona imefika wakati wa kuwawajibisha baadhi ya viongozi waliotufikisha katika hali kama hii tuliyonayo sasa kwa kuwafungulia mashtaka au kuwapoteza: Kwa uchache nitawataja hapa chini ila kama unaona nimewasahau wengine mtanisaidia:
  1. Prof. Maghembe - upande wa elimu hasa matokeo ya form 2 na 4
  2.shukuru kawambwa - miundombinu choo kugharimu mil.700 huko kwao bagamoyo
  3. Dk mwinyi na lt gen shimbo - mabomu ya gongo la mboto
  4. Ngeleja - dowans na mgao wa umeme ambao unasababisha ugumu wa maisha
  5. Jaji werema - kukurupuka ktk masuala ambayo yanaweza kuathiri national security kama haina haja ya katiba mpya
  6. Cellina kombani - uelewa wake mdogo ktk kujibu hoja afu kuwafanya watz ni wapumbavu kwamba mi nilikuwa natania
  7.lowassa - kutufikisha hapa tulipo ktk mgao wa umeme kupitia mikataba feki ya richmond
  8.mkwere - collective responsibility ajiuzuru maana ye ndo kawateua wote hao.
  9. Igp mwema - kuruhusu mauaji ya arusha yaliyofanywa na vijana kazi wake
  10.mkullo - kutudanganya watz wkt hali inaonekana ye anasema kuwa uchumi unapaa wkt si kweli
  11.prof. Ndulu - kuwapa moyo wtz kuwa hali ya fedha hazina ni nzuri wkt hata mzunguko wa pesa nchini umepungua na kila siku wanafikiria jinsi ya kuwalipa dowans kimya kimya
  12. Hamad rashid - kuleta mkanganyiko wa kambi ya upinzani bungeni wkt anaujua utaratibu ukoje na yeye sasa ni sehemu ya chama tawala
  13.
  14.
  Nawasilisha
   
Loading...