Kuna haja ya Kuendelea Kusali ile Sala Ndani ya Ukumbi wa Bunge?

Elice Elly

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
1,268
1,593
Wadau ile Sala inayo saliwa Bungeni siyo Kumkufuru Mungu?Kwa sala na Matendo yanayo endelea unafikiri Mungu Atabariki Yale yanayo endelea mle ndani au Atalaani?
IMG-20190205-WA0052.jpeg
 
Mungu mwenyewe ndiye anatoa hukumu kwa haki na hilo unalohoji yeye ndiye atakayeamua kwa wakati wake.
Sema AMINA.
 
Mabeberu wamefanikiwa kuhujumu Taifa Stars ikose walau point moja
mataifa mengine wamepeleka wachezaji wao nguli wa zamani ili kuwatia wachezaji hamasa nyie mkapeleka walioshindwa hata mitihani/ wezi wa vyeti mkitegemea kupata ushindi?
 
Ndugai na mkuu wake wa kazi wameligeuza bunge kuwa kikao cha wachawi sasa hizo sala ni za kumuomba shetani na si mungu.
 
Back
Top Bottom