Kuna haja ya Kim Poulsen kurudi Stars

mazaga one

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,463
3,932
Kama TFF mnaliona hili na mnahitaji tufudhu mataifa ya Africa basi Kim arudi taifa stars kwa maslai ya taifa,tusije endelea kupoteza muda kwa kujipa matumaini ya kufudhu mataifa ya Africa,,Mrudisheni Kim TFF tunaomba sana,mashabiki tunaumia hatupendi kila siku tuwe watazamaji kwa Uganda wakiwa Afcon,kundi letu ni rahisi sana.Kim arudishwa Stars.
 
Salum Mayanga si kocha wa muda lakini au amepewa contract ya moja kwa moja
 
Yaani tuache blabla kabisa kwenye mpira ile mechi ilikuwa sio ya kutoka draw kabisa sub zilichelewa sana kuingia
 
Yaani tuache blabla kabisa kwenye mpira ile mechi ilikuwa sio ya kutoka draw kabisa sub zilichelewa sana kuingia
Ni kweli mkuu,mpira ulikuwa wetu kabisa nikikumbuka naumia sana,tena tulikuwa na uwezo wa kushinda goli nyingi na kuwa kileleni mwa kundi.
 
Kim hii timu alikuwa anaenda nayo vizuri tu... sasa huyu Malinzi sijui alikuwa anawaza nini aisee..
 
Back
Top Bottom