Kuna haja ya Jamii Forum Kutenga au kufilter forum kutokana Na muda mchangiaji Aliye jiunga

NJUGHU

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
381
261
Napendekeza hii hoja maana kuna wachangiaji wanapoteza kabisa umakini wa jukwaa hili lilokuwa bora lenye magreat thinkers.
Ukiangalia wachangiaji wanao haribu ni wale waliojiunga 2019.

Uchangiaji usio jibu hoja au kuchangia hoja kwa hoja Bali vijembe na ushabiki wa kiaiasa .
Ni wazo tu naomba uchangiaji wenye tija si matusi
 
Kwa niaba ya kamandi ya vilaza napinga kabisa wazo lako kwa point 3
1.kila mtu humu kajiunga kwa malengo yake
2.kitendo tu cha kujiunga humu ni Ukomavu
3.wote mkiwa great thinkers na sisi vilaza nani atatutoa kwenye ukilaza

Note
Aliyepanga majukwaa mbalimbali sio mjinga
 
Napendekeza hii hoja maana kuna wachangiaji wanapoteza kabisa umakini wa jukwaa hili lilokuwa bora lenye magreat thinkers.
Ukiangalia wachangiaji wanao haribu just joined 2019.
Uchangiaji usio jibu hoja au kuchangia hoja kwa hoja Bali vijembe Na ushabiki wa kiaiasa .
Ni wazo tu naomba uchangiaji wenye tija si matusi
.
tapatalk_jpeg_1568211858235.jpeg
 
Back
Top Bottom