Kuna haja kubwa Marais wasilale na wake zao kitanda kimoja

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Mbali na hili, pia uhuru wanaopewa wake za Marais upunguzwe, ni HATARI.

Kama mjuavyo, wanawake wengi siku hizi wameshajua kuwa kujitetea na mwanaume anayempiga, hata kama kakosea yeye mwanamke, basi ni kubana korodani.

Sehemu hii ni nyeti na haitaki bughudha, hebu chukulia mkuu wa nchi kakorofishana na first lady halafu akabanwa huko si atakufa?

Na akifa si itakuwa tayari kapinduliwa na mkewe? Tayari bendera nusu mlingoti. Hivyo basi, hili liangaliwe kwa umakini mno, mbali na mke, pia makahaba wanaweza kutumwa na kutumia njia hii kuwaua wakuu wa nchi, na ukizingatia wengi huwa wazee na nguvu hupungua.

Hayo ni mawazo yangu tu!!!!
 
Iyo avartar ya mtoa mada sasa
Screenshot_20211102-173302.jpg
 
Mbona umelenga kwa Marais wanaume tu ina maana humuoni mama yenu?

Mko na rais mke, sasa vipi first gentleman naye asilale na mkewe?

Wazo lako ni mbofu mbofu thana bwashee
 
Back
Top Bottom