Kuna haja kua na jukwaa la mazingira katika JF.

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
WanaJF. Mimi napendekeza kuwepo na jukwaa la mazingira,ili mada zote zinazohusu masuala ya mazingira na maliasili za TZ na dunia kwa ujumla ziweze kuletwa na kujadiliwa. Naomba kuwasilisha.
 
Ni wazo zuri sana Lakini napendekeza mambo 2
1.Kwanza tukianza kila issue kutengenzewa jukwaa lake JF itakosa radha fulani,
2.Hata mimi napendekeza jukwaa la raslimali za taifa

Byabato
 
QUOTE=Mathias Byabato;Ni wazo zuri sana Lakini napendekeza mambo 2
1.Kwanza tukianza kila issue kutengenzewa jukwaa lake JF itakosa radha fulani,
2.Hata mimi napendekeza jukwaa la raslimali za taifa

Byabato

Sijakuelewa! Iyo 1 na 2 kama zinakanganyana!
 
Back
Top Bottom