Kuna haja gani ya kuunga budget kwa 100% alafu ukaendelea kusema budget haijatende haki watu jimboni

Mrembo

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
414
210
Heshima kwenu wakuu,

mimi nimekuwa nikifuatilia bunge hili la budget kwa makini sana. nimegundua wabunge karibu wote wa CCM wanaunga mkono Budget kwa 100%. alafu kwenye kuchangia wanalalamika budget haijataja mambo fulanifulani (miundombinu, utalii etc) majimboni mwao. Je huu si unafiki? sasa kuna haja gani ya kuunga mkono 100% wakani kuna reservations, yaani inaonekana ili bunge linaendeshwa kwa ushabiki Tu.

naomba kuwakilisha.
 
nimebaki hoi na mchango wa nimrodi mkono muda mfupi uliopita ...ametangulia kuunga mkono hoja kwa asilimia 100 then akafululiza kuiandama kuwa haina chochote kwa wananchi wake...anyway labda ni mzalendo sana hajali kama haijajali jimbo lake imejali sehemu nyingine ta tz ila hakuwa na sababu ya kuilaumu nilitegemea aisifu sanaaaa...yaani hata profesheno pipo pia kwenye siasa wanakuwa very unprofesheno

mix with yours
 
Hao wabunge wanajua nini cha kufanya ila wengi wao njaa zinawasumbua. Na mwaka huu CCM wameamua kutetea chama na si wananchi waliowatuma na kwa nguvu zote watahakikisha bajeti hata kama imeoza ipite tu. Kwa vile wao ndio wengi hatuna cha kupinga....Leo unaibuka unaunga mkono 100% then baadae unasema sijatendewa haki kwenye bajeti hii, huo si upumbavu jamani? Mi naona wengi wao wanaongea ili kuuza sura ili Wapiga kura wao wawaone na kuongeza publicity tu na si vinginevyo.
 
Kapwani, umeona eeh. yani inashangaza sana. sasa si aseme angala 99% lol!
 
kama wanauza sura basi wanakosea, maana wananchi wenyewe ndio sis, alafu tunafuatilia kwa karibu, so tunaona madudu yao yote. wakija kwenye compaign tutawauliza alituwakilisha vipi bungeni
 
Wabunge wote wa CCM ni mzigo kwetu sisi walipa kodi, hawatusaidii lolote tuwatose tu hawa malimbukeni
 
Na hapo ndipo wabunge wa ccm wanapoonesha ujuya na upuuzi wao..........
 
Back
Top Bottom