Kuna haja gani ya kumlipa mkuu wa idara mshahara mkubwa 'leaders scale' ili hali wanaofanya kazi kwa kiwango kikubwa ni wasaidizi wake?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Utakuta mkuu wa idara kwenye hizi halmashauri zetu analipwa mshahara wa 'leaders scale' pamoja na house allowance, electricity allowance, communication allowance, usafiri pia anapewa na kazi anayofanya ni kukaa tuu ofisini na kusaini mafile pamoja na kupitia mihutasari iliyoandaliwa na wasaidizi wake.

Mara nyingine hawa wakuu wa idara wanakuwa hawana hata aibu , unakuta anakwambia hebu wapigie fulani na fulani simu walete taarifa fulani tuinganishe na kujisahaulisha kuwa yeye anapewa communication allowance kila mwezi.

Lakini pia utakuta watumishi hawa wa chini muda wote wako bize na kazi, mara waende field, warudi waandike taarifa, mara wafuatilie utekelezaji wa maagizo ya viongozi sasa ukiona mshahara anaopata unaweza kutoa machozi.

Sasa mtu anapewa mshahara mkubwa na allowance nyingi sasa ni kwanini mtu huyo huyo awe na wasaidizi wake?.

Ni bora mtu kama huyo akaachiwa idara nzima afanye kazi mwenyewe kuliko kuwa na wasaidizi wake. Maana mshahara anaoupata ni mkubwa sana kuliko kazi anazofanya kwa siku.

Na wengine ukienda kwenye sehemu za kunywa chai na chakula (mama lishe) utawakuta wanapiga story tu huku wakitumia muda mwingi huko.

Serikali kwenye hili mlifanyie kazi, pesa nyingi za walipa kodi zinapotea kwa kuwalipa watu wasio kuwa na majukumu mazito huku maofisini. Hasa kwenye Halmashauri na Ofisi za wakuu wa mikoa.

Na pia siku hizi wakuu wa idara nyingi wamekuwa wajanja sanaa, utakuta wamerundika mifaili juu ya meza kwa muda mrefu kuzuga ili waonekane kuwa wameelemewa na kazi kumbe ni geresha tu.

Vile vile, kwa kuongeza ufanisi kwenye hizi halmashauri zetu na ofisi za wakuu wa mikoa ni vyema sasa serikali ikaja na mfumo wa electronic wa mafaili ( e- file management information system) mfumo wa namna hii itasaidia kujua file linachukua muda mwingi kwa Mkuu wa idara gani na kwa afisa gani.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta mkuu wa idara kwenye hizi halmashauri zetu analipwa mshahara wa 'leaders scale' pamoja na house allowance, electricity allowance, communication allowance, usafiri pia anapewa na kazi anayofanya ni kukaa tuu ofisini na kusaini mafile pamoja na kupitia mihutasari iliyoandaliwa na wasaidizi wake.

Mara nyingine hawa wakuu wa idara wanakuwa hawana hata aibu , unakuta anakwambia hebu wapigie fulani na fulani simu walete taarifa fulani tuinganishe na kujisahaulisha kuwa yeye anapewa communication allowance kila mwezi.

Lakini pia utakuta watumishi hawa wa chini muda wote wako bize na kazi, mara waende field, warudi waandike taarifa, mara wafuatilie utekelezaji wa maagizo ya viongozi sasa ukiona mshahara anaopata unaweza kutoa machozi.

Sasa mtu anapewa mshahara mkubwa na allowance nyingi sasa ni kwanini mtu huyo huyo awe na wasaidizi wake?.

Ni bora mtu kama huyo akaachiwa idara nzima afanye kazi mwenyewe kuliko kuwa na wasaidizi wake.

Dogo kasome uongeze shule, rudi fanya kazi kwa bidii na wewe kuna siku utakuwa hata katibu mkuu wa wizara, au mkurugenzi, CEO nk utazitumbua hafu ndo utakapojua majukumu ya kusimamia kazi na wafanyakazi ni ngumu kuliko kulea mtoto.

Mm nimekuelewa sana.... Japo wanaweza kukupinga... Bora usimamie ng'ombe kuliko wafanyakazi hasa wa tz
 
Kuna siku utakuja kutuambia
1. CEO wa benki ana kazi gani wakati Tellers muda wote ndo wapo bize.
2. Brigadier wa jeshi ana umuhimu gani wakati frontline wanaenda infantry wasio na cheo
Naomba uka upgrade hako ka Diploma au Ka certificate kako ndo utajua umuhimu wa hao watu.
 
Dogo pole, hakuna kazi isiyo simamiwa, huwezi kuwa na watu 10 wanajiongoza wenyewe. Lazima awepo mmoja Wa kuangalia kazi za wengine. Kwa kawaida ukiwa na kazi isiyo na mwangalizi kila kitu kitaenda ovyo.
Muundo Wa utumishi Wa umma unarusu kuwa na idara zenye wasimamizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitengo vina mtu mmoja kama Uchaguzi, mazingira, TEHAMA na Nyuki hapo hoja yako ya watu 10 inakosa justification. hata majukumu ya Wakuu wa Vitengo hivi hawa deserve kulipwa kiasi cha pesa wanacholipwa ukilinganisha na Watumishi wenye Elimu sawa.
 
Waliunda tume ya Harmonization ya mishahara na allowance toka mwaka 2016 tuliambiwa hivyo lakini hadi leo tume hiyo haijaja na mrejesho.
 
Dogo kasome uongeze shule, rudi fanya kazi kwa bidii na wewe kuna siku utakuwa hata katibu mkuu wa wizara, au mkurugenzi, CEO nk utazitumbua hafu ndo utakapojua majukumu ya kusimamia kazi na wafanyakazi ni ngumu kuliko kulea mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue siyo kusoma tu mkuu, hiyo LSSE imeleta figusu za kila aina ili upate ukuu wa Idara watu wanafikia hatua hadi ya kuroga
 
Mm nimekuelewa sana.... Japo wanaweza kukupinga... Bora usimamie ng'ombe kuliko wafanyakazi hasa wa tz
Ukiwa boss unapigwa presha na wakubwa haswa katika masuala ya kukusanya kodi, au kusimamia sheria hafu hapohapo wanasiasa wanataka wananchi wasisumbuliwe, ofisini unakutana na watumishi ambao wewe unatoa maelekezo ya kazi wao wanafanya tofauti au wanakuharibia uonekane hufai. Full kukupiga majungu kama ukiwa mkali aukiwa mpole wanakuona lofa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huo mshahara unaoitwa Leaders scale ni mdogo sana ukilinganisha na mishahara ya baadhi ya watu walio katika sekta nyingine hasa sekta binafsi

Mara nyingi waweza kuta mshahara kwenye scale ya leader ni 2.5 hadi 3.5 kutegemea na ngazi aliyokua nayo kimuundo kabda ya kuwa Mkuu wa Idara

Ningekuunga mkono kama hoja yako ingetaka walio chini ya wakuu wa Idara nao ama waongezewe posho au kuboreshewa maslahi mengine. Suala la ngazi ya mshahara lipo kimuundo kulingana na elimu na muda kazini(uzoefu).

Unaweza kuta afisa wa kawaida akawa na mshahara mkubwa kuliko bosi wake kutegemea na muda alioingia kwenye ajira. Mfano mwalimu wa kawaida anaefundisha shuleni anaweza kua na mshahara mkubwa kuzidi wa Afisa Taaluma Wilaya ambae ni bosi wake kwa sababu ametumikia nafasi yake kwa muda mrefu na amepanda madaraja hadi kufikia ngazi za juu za mshahara kimuundo

Juu ya yote kumbuka Wakuu wengi wa Idara wamepitia ngazi hizo za u subordinate wakifanya kazi zote au maalum za Idara ikiwa ni pamoja na kukaimu ukuu wa Idara kabda ya kukabidhiwa/kuthibitishwa ukuu wenyewe wa Idara husika
 
Back
Top Bottom