Kuna haja gani ya kumchagua Magufuli tena?

Haya yote uliyoyaorodhesha hapa na yanaonekana ni sehemu ndogo sana ya uharibifu unaotokea sasa.

Hatari ni yale mazito zaidi ambayo madhara yake bado hayajaanza kujitokeza.

Elimu yetu ilikuwa ni mbovu, na sasa ndio inaendelea kudidimia zaidi, na hakuna yeyote anayestuka kuhusu hili; ni kama tupo 'autopilot' tukielekea jehenamu.

Angalau kilimo kilianza kuonekana kidogo, kwa kudra zake Mwenyezi kwa kutupa mvua za kutosha na kuzalisha chakula cha kutosha kwa mda sasa. Hiki nacho sasa kinavurugwa bila ya mpangilio wowote unaoonekana ili kukiimarisha. Sagot? na ufadhiri wa Benki ya Dunia, hakuna anayejua kunaendelea nini huko!

Viwanda? Eeenh Hee, nani, yule Mwaijage katuachia vyerehani. Uwekezaji tumebaki na maneno mengi tu ya mipasho.

Hata ushiriki wetu tu katika vikao, makongamano, mikutano ya wakuu - hizi sio anasa ambazo tunasema tunazibania matumizi.
Unajifungia ndani hata hujui duniani kunafanyika nini kinachoweza kukusaidia wewe? Ni anasa kama hujui malengo yake na hujishughulishi kuyatumia hayo unayoyapata huko ipasavyo.

Yani inasikitisha sana
 
*Hali ya maisha imekuwa ngumu
*Kodi hadi vitambulisho vya wakulima
*Shida ya korosho kaleta yeye
*Watu wasiojulikana wamepoteza watu
kipindi chake
*Hakuna bunge live
*Vyombo vya habari vingi vimepigwa ban
*Wenye blogs & website kodi kubwa.
*Wapinzani wameuawa na kupotea
*demokrasia hamna
*Wenye kusimamia haki Kama C. A. G
wanafanyiwa mizengwe
*Miradi anapitisha mtu mmoja bila
kuhusisha bunge.
*Mishahara haijaongezwa
*Graduates hawana ajira

Huyu mtu hatakiwi tena hata ndani ya chama chake.

Heri wapinzani au twende na Membe 2020.
Stupid thread ever!
 
Magufulia tachaguliwa na mafisadi pamoja na wahujum uchumi wenzake maana hakuna kipindi katika historia ya Tz ambapo ufisadi umeshamiri kama awamu hii ya tano.
 
Baadhi ya hoja ni kama ganda la mua la jana, Chungu aona kivuno.
Wakati wengine wakitamani aondoke hata leo, wengine wanatamani hata baada ya 2025 apitilize na aendelee.

Mimi mwenyewe kwa maoni yangu, tusifanye uchaguzi wa rais 2020,

Magufuli aendelee tuu, na 2025 kama bado hajakamilisha miradi yake mitano mikuu kwa nchi yetu,
1.Tanzania ya viwanda
2. SGR
3.Stigler
4. Nchi ya uchumi wa gesi
5. Nchi ya uchumi wa kati
apatiwe muda wa kutosha kuikamilisha.

P
Kikao cha Maadili cha Bunge kimekufanya urukwe na akili, akili zako haziko tafauti na Ndugai 🤯
 
Hakuna haja kabisa
*Hali ya maisha imekuwa ngumu
*Kodi hadi vitambulisho vya wakulima
*Shida ya korosho kaleta yeye
*Watu wasiojulikana wamepoteza watu
kipindi chake
*Hakuna bunge live
*Vyombo vya habari vingi vimepigwa ban
*Wenye blogs & website kodi kubwa.
*Wapinzani wameuawa na kupotea
*demokrasia hamna
*Wenye kusimamia haki Kama C. A. G
wanafanyiwa mizengwe
*Miradi anapitisha mtu mmoja bila
kuhusisha bunge.
*Mishahara haijaongezwa
*Graduates hawana ajira

Huyu mtu hatakiwi tena hata ndani ya chama chake.

Heri wapinzani au twende na Membe 2020.
 
Kikao cha Maadili cha Bunge kimekufanya urukwe na akili, akili zako haziko tafauti na Ndugai 🤯
Mkuu Chabuso, this might be true but either way, kama mwanzo nilikuwa na akili, kuhojiwa na kamati ya Bunge kumenifanya nirukwe na akili zifanane na Ndugai, lakini kama kabla sijahojiwa nilikuwa sina akili, mahojiano yale yamenipa akili na kunijenga kiuzalendo zaidi hadi kufanana Mkuu wa mhimili.

JF was meant to be the home of great thinkers, mtoa mada katoa hoja zake kwa nini Magufuli usirudi 2020, mimi nimepangua hoja kwa counter argument kwa nini Magufuli.aendelee hata beyond 2025 if there is a need. Pangua hoja zangu kwa kuzipangua hoja au kuleta hoja mbadala na sio kuingia kwenye personalities za kunifananisha na Ndugai. Unaweza kukuta ukifanya dodoso la the best Speaker ukashangaa kukuta ni Ndugai, and the worst ni Sita, Sita aliruhusu Bunge live na kuwapa nafasi wapinzani. Ndugai kazuia Bunge live na kuwashughulikia wapinzani.

Hivyo mjadala wa rais Magufuli aendelee au asiendelee, tuuendeshe kwa hoja kwa maslahi ya taifa.

Thanks.
P
 
Chadema mtapata tabu sana binafsi namkubali sana uncle Magu,hata kama atawale milele,amewanyoosha mabwana,sasa hivi hakuna cha unanijua mimi.Magufuli for 2020-2025
Mkuu hebu nifafanulie maana ya "kutawala milele" Ina maana hatakufa? au una maana kutawala wakati wa uhai wake wote?
 
Mkuu Chabuso, this might be true but either way, kama mwanzo nilikuwa na akili, kuhojiwa na kamati ya Bunge kumenifanya nirukwe na akili zifanane na Ndugai, lakini kama kabla sijahojiwa nilikuwa sina akili, mahojiano yale yamenipa akili na kunijenga kiuzalendo zaidi hadi kufanana Mkuu wa mhimili.

Thanks.
P
Mkuu P, akili ulikuwa nazo lakini zilikuwa akili huru, akili za kujiamulia na kufikiri, ulikuwa unatumia akili yako kama binaadamu aanavyotakiwa aitumie..

Mkuu P, Uzalendo sio kukubali kila kitu kinachofanywa au kuzungumza na Wanasisa, kumbuka kuwa Wanasisa hasa Hawa wa kwetu Afrika wako kimasilahi zaidi

Mkuu P, Mzalendo wa kweli ni yule anaekosowa akiona Taifa linapotea ikiwa kiuchumi, kimaadili nk..

Kama unapindisha mawazo na fikra zako kwa kufurahisha watawala au kama una woga wa kueleza yale unayoyafikiria basi huo sio uzalendo.
 
Mkuu Chabuso, this might be true but either way, kama mwanzo nilikuwa na akili, kuhojiwa na kamati ya Bunge kumenifanya nirukwe na akili zifanane na Ndugai, lakini kama kabla sijahojiwa nilikuwa sina akili, mahojiano yale yamenipa akili na kunijenga kiuzalendo zaidi hadi kufanana Mkuu wa mhimili.

JF was meant to be the home of great thinkers, mtoa mada katoa hoja zake kwa nini Magufuli usirudi 2020, mimi nimepangua hoja kwa counter argument kwa nini Magufuli.aendelee hata beyond 2025 if there is a need. Pangua hoja zangu kwa kuzipangua hoja au kuleta hoja mbadala na sio kuingia kwenye personalities za kunifananisha na Ndugai. Unaweza kukuta ukifanya dodoso la the best Speaker ukashangaa kukuta ni Ndugai, and the worst ni Sita, Sita aliruhusu Bunge live na kuwapa nafasi wapinzani. Ndugai kazuia Bunge live na kuwashughulikia wapinzani.

Hivyo mjadala wa rais Magufuli aendelee au asiendelee, tuuendeshe kwa hoja kwa maslahi ya taifa.

Thanks.
P
Umesomeka mkuu, ila nifafanulie kutawala beyond 2025, mchakato wa katiba utaanza upya au?
 
Nilimpigia kura 2015 simply kwa kuwa wapinzani walibadili gia angani nikapiga kura ya hasira. Ila awamu hii nitabaki nyumbani kucheza na watoto.
 
Back
Top Bottom