Kuna haja gani ya kumchagua Magufuli tena?

Mkuu Kumi Shoka Kumi.na Nne, kwanza asante kwa maswali yako ni ya msingi sana.
Maadam hayo ndio Magufuli aliyodhamiria, na yote yana nia njema na dhamira safi na taifa letu, jambo la kwanza, tumuunge mkono rais wetu katika kutimiza malengo hayo.

Kwa vile kunaweza tokea uchelewaji wowote, ndio maana nikashauri ikifika 2025 mambo hayo matano hayajakamilika, tumuongezee muda, tumpe muda wa kutosha kukamilisha hiyo miradi.

Tunajenga SGR kwa fedha zetu, malighafi ya SGR yote tunaagiza hadi sementi.

Gesi ya Mtwara bado haijaanza kutumika majumbani hadi tukamilishe mtambo wa kuichakata wa NLG pale Madimba ndipo gesi ya majumbani itashuka bei.

Maandalizi ya rasilimali watu, yanaendelea.

P
Nimeweza kusoma katikati ya mistari ya majibu yako sasa nimekuelewa. Mwanzo sikuwa nimekuelewa asante sana
 
Baadhi ya hoja ni kama ganda la mua la jana, Chungu aona kivuno.
Wakati wengine wakitamani aondoke hata leo, wengine wanatamani hata baada ya 2025 apitilize na aendelee.

Mimi mwenyewe kwa maoni yangu, tusifanye uchaguzi wa rais 2020,

Magufuli aendelee tuu, na 2025 kama bado hajakamilisha miradi yake mitano mikuu kwa nchi yetu,
1.Tanzania ya viwanda
2. SGR
3.Stigler
4. Nchi ya uchumi wa gesi
5. Nchi ya uchumi wa kati
apatiwe muda wa kutosha kuikamilisha.

P
Kaka binafsi nakuunga Mkono asilimia zote huyu ni Zawadi yetu Watanzania.

Binafsi naomba Mungu kila usiku tusifanye uchaguzi 2020 tumpitishe moja kwa moja ili Pesa impe msaada katika Project za Taifa letu Mama Tanzania.

Vitu anavyo vifanya vitainua Uchumi kwa kasi sana binafsi najuta elfu 2015 sikumpigia kura na sikuitendea haki nafsi yangu
 
Au aongoze hadi 2050!
Ma homeboyz bhana.
 
Back
Top Bottom