Kuna haja gani ya kuendelea kufanya kaguzi za Serikali za mitaa iwapo matokeo yanawekwa bench? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja gani ya kuendelea kufanya kaguzi za Serikali za mitaa iwapo matokeo yanawekwa bench?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nickodemus, May 23, 2011.

 1. n

  nickodemus Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila mwaka Mkaguzi na Mdhibiti mkuu wa Serikali anafanya ukaguzi na kutoa taarifa za kitaalamu. Matokeo yake ni ya wazi, na maoni yake ya kitaalamu kuhusu namna ya kurekebisha upotevu ama matumizi mabaya ya fedha za Serikali huwa ni lulu. Mara nyingi huwa yanafanya habari kubwa kubwa kwenye magazeti.

  Lakini mara nyingi baada ya hapo, huwa yanawekwa kando. Kwa taarifa yako kwa miaka mitano iliyopita matumizi yenye maswali kwenye ripoti ya Mkaguzi yameongezeka toka Tsh 9 bilioni mwaka 2005/06 hadi Tsh 122 bilioni mwaka 2009/10. Na bado hakuna aliyewajibishwa.

  Sasa tufanyeje?
   

  Attached Files:

Loading...