Kuna haja gani ya kuchimba madini yetu?

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Inakuwaje wanajamvi!

Hamna haja ya kuchimba tena madini yetu bora yabakie tu ardhini.

Inasikitisha sana hayana hata msaada kwetu. Yani yanatuletea tu asilimia 4% kwenye uchumi wetu.

Inasikitisha sana. Na siyo Tanzania tu Africa yote. Sisi waafrika tumelaaniwa. Kuna haja gani ya kuyachimba?
 
Back
Top Bottom