Kuna Future | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Future

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Tank, Apr 29, 2009.

 1. T

  The Tank New Member

  #1
  Apr 29, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na mambo yote hayo tunayoyaongelea kuhusu siasa na maisha kwa ujumla hapa tanzania je kuna uwezekano wa kuja kuwa na maendeleo kama nchi za ulaya au ndio basi tena mpk mwisho wa dunia? je nani nimpe kura yangu 2010 maana kwa kweli sioni wa kumpa! Kingine naona hapa kweli kuna magreat thinkers! je tunaisaidia kweli nchi yetu kwa vitendo au ndio maneno tu then kila mtu anajali chake? je wananchi wa tanzania tunafanyana wajinga kwa maslahi ya watu wachache? maana ukiangalia kwa makini malumbano ya RA, Mengi, Manji na nani sijui ni matajiri na wanacreate haya malumbano ili watanzania tupate la kuongea vijiweni tu na kupotezeana wakati then bac hakuna lolote linaloendelea! je kuna lolote la kufanya? hebu nisaidieni wenzangu
   
Loading...