Kuna fursa zipi kwenye kusoma Ordinary diploma in pipe work, Oil and Gas Engineering?

KingPower

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
1,098
1,745
Habari za Jpili wakuu natumai mu wazima wa afya kabisa.

Husika na kichwa cha habari hapo juu Mdogo wangu ameniomba ushauri juu ya kozi hapo juu ambayo amechaguliwa chuo cha ATC.

Anataka kujua fursa juu ya hii fani, zipo au laa?

Maana target yke kubwa ilikua kuchaguliwa Biomedical engineering.

Je, utaratibu apo ATC anaweza kubadilisha kozi?

Addition matokeo yke ya form 4 ni Div 2 ya point 20.

Natanguliza shukrani za dhati nikiamini mtanipa ushauri mzuri ili aweze kuufata.
 
Awahi mapema kabla chuo hakijafungua abadirishe. Halafu asiwe anachagua makozi magumu akizani ndio sifa au atapata kazi kirahisi, kwann asisome umeme, mechanic au civil
 
Thanks Mkuu nashukuru kwa ushauri wko. Tutaufanyia kazi
Awahi mapema kabla chuo hakijafungua abadirishe. Halafu asiwe anachagua makozi magumu akizani ndio sifa au atapata kazi kirahisi, kwann asisome umeme, mechanic au civil
 
Odinary diploma in pipe work, Oil and Gas Engineering haiko vizuri pale arusha technical na wanahangaika tu.. achana na hyo kozi
 
Habari za Jpili wakuu natumai mu wazima wa afya kabisa.

Husika na kichwa cha habari hapo juu Mdogo wangu ameniomba ushauri juu ya kozi hapo juu ambayo amechaguliwa chuo cha ATC.

Anataka kujua fursa juu ya hii fani, zipo au laa?

Maana target yke kubwa ilikua kuchaguliwa Biomedical engineering.

Je, utaratibu apo ATC anaweza kubadilisha kozi?

Addition matokeo yke ya form 4 ni Div 2 ya point 20.

Natanguliza shukrani za dhati nikiamini mtanipa ushauri mzuri ili aweze kuufata.
Inatakiwa mtumie akili, wenzake wa degree mpaka leo hawajui cha kufanya alafu yeye anajipeleka kwenye oil!!

Kama anapenda engineering mwambie asome civil, electrical au mechanical hayo mafuta yataja mtokea puani siku akimaliza.

BTW kwann unamsingizia mdogo wako wakati wewe ndo muhusika?
 
Hapana Mkuu nishamaliza chuo toka 2018.

Ila ushauri wako tutaufanyia kazi.
Inatakiwa mtumie akili, wenzake wa degree mpaka leo hawajui cha kufanya alafu yeye anajipeleka kwenye oil!!

Kama anapenda engineering mwambie asome civil, electrical au mechanical hayo mafuta yataja mtokea puani siku akimaliza.

BTW kwann unamsingizia mdogo wako wakati wewe ndo muhusika?
 
Ni private sponsored ama ni government sponsored student!???......kama Ni private atamudu kubadiki kozi Muda wowote ila kama Ni government sponsored afanye kabla ya wakati wa kufika pale maana huleta usumbufu Sana kubadili!!!
 
Achana na kozi za kihuni mkuu, utatumia akili nyingi na muda mwingi ilihali mazingira ya bongo sio rafiki kwa hiyo fani.

Soma uinjinia wa umeme ambao kutoboa sio kazi kama hyo mafuta na gesi
 
Back
Top Bottom