Kuna Faida Zozote Nchi Imepata kwa Uwepo wa Vyama Vingi Vya Siasa??

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Tokea 1995 uchaguzi wa Vyama vingi ufanyike kwa mara ya kwanza nchini na Tangu mfumo wa vyama vingi kuzaliwa.

Je kuna Faida yoyote Nchi imepata au ni bora tungebaki kwenye mfumo wa Chama kimoja?
 
Ipo moja ninayoiona, imekuwa chanzo kikuu cha ajira na kutengeneza waongeaji wengi.
 
Back
Top Bottom