YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,174
- 36,226
Mambo
Poa, yaani nimeona comment yako naanza kucheka
Mambo
Ndio uzuri wa mzabzab....lazima ucheke no kununaPoa, yaani nimeona comment yako naanza kucheka
Ishu sio kumpa kuna gharama za uendeshaji wa maisha yao unakua mikononi mwa nani?Kivipi sasa. Kwani wee u ashindwa pata binti wa miaka 18 ukampea kijana wako aoe aanze kula tunda
Mwa mzaziIshu sio kumpa kuna gharama za uendeshaji wa maisha yao unakua mikononi mwa nani?
Sent from my itel A662L using JamiiForums mobile app
AlooooVema ujue kama ni mali safi au mali taka
Life liko tight aiseeeee, sio rahisi kbisaMwa mzazi
Kama lipo tyt basi msizae hovyo