Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,087
- 1,913
Kuna mtindo wa kuwapa majina watoto kwa kuanza na herufi zinazofanana ,je huu mtindo una faida au hasara au uzungu?
Unakuta mzazi anawaita majina mtoto wa kwanza hadi wa mwisho herufi inayoanza ni D,au E au B
Hasara ni kwamba majina hayazingatii chimbuko lake wala utamaduni wa jamii yake
Kuna miaka itakuja ambapo watu kwenye shule,mtaa ,kijiji,taasisi nzima majina yote matatu yatakuwa yanafanana na mtu atakuwa anashindwa kutofautisha watu
Hawa watoto unawapa majina yanayoendana kierufi na watoto wao pia watafanya hivyo
Hali hii inafanya majina ya kiafrika yanapotea kwa kasi,kwa nini hatuzingatii asili wakati tunaita majina watoto wetu?
Kwa sababu tunazaa kuendeleza kizazi cha jamii zetu pia tuwape majina sambamba na asili zetu za kiafrika
Na serikali ingilia kati suala hili,mnapoandikisha vyeti vya watoto majina yawemo na ya asili na ipige marufuku hii formula ya majina kwa watoto ,inarithisha watoto ujinga