Kuna faida gani kuwa na Kiwanda kama wawekezaji ndo wenye masharti haya?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,784
Nitatoa mfano, Kiwanda kinajengwa Tanzania, mwenye kiwanda anataka apewe tax holliday yaani aendeshe kiwanda bila ya kulipa kodi anapewa, anataka apunguziwe gharama ya umeme anapunguziwa, anaajiri vibarua, kibarua maana yake ni mfanyakazi ambaye analipwa kwa siku na asipokuja kesho labda kwa ugonjwa au hata ajali ajira kwisha anachukuwa mtu mwingine, hapo hapo mwenye Kiwanda anataka asilipe export tax kama akiuza bidhaa nje ya nchi na vile vile akiingiza bidha kwa matuminzi ya kiwanda chake pia anataka Serikali imuondolee import tax, sasa Nauliza kuna faida ya kuwa na hiki Kiwanda?
 
Nitatoa mfano, Kiwanda kinajengwa Tanzania, mwenye kiwanda anataka apewe tax holliday yaani aendeshe kiwanda bila ya kulipa kodi anapewa, anataka apunguziwe gharama ya umeme anapunguziwa, anaajiri vibarua, kibarua maana yake ni mfanyakazi ambaye analipwa kwa siku na asipokuja kesho ajira kwisha anachukuwa mtu mwingine, hapo hapo mwenye Kiwanda anataka asilipe export tax kama akiuza bidhaa nje ya nchi na vile vile akiingiza bidha kwa matuminzi ya kiwanda chake pia anataka serikali imuondolee import tax, sasa Nauliza kuna faida ya kuwa na hiki Kiwanda?

Tulia dawa iingie vizuri!
 
Kiwanda hakina jina?? Tuondolee upuuzi
 
Ni vitu vya kuongea...sio kirahisi hivyo kama ulivyongea...

Kuna complex mathematics za kufanywa kwa uwazi iangaliwe asaidiweje,sio mnaongea tu kijuu juu,Dangote sio fala kiivyo na sio kwamba serikali inatakiwa iwe hovyo kiivyo...

Sioni sababu ya kushindwa kuangalia common ground kimahesabu wakakubaliana...

Mpaka amefunga kiwanda,sawa inaweza kua ni intimidation tactic ya dangote ila kibiashara ni hesabu ziwekwe chini na watu wa serikali wawe smart kunegotiate smart deals sio wanakaa kama mazombie...

Tatizo hiki kiwanda ni cha kufanya kazi na sio ubwege huu unaondelea...please people cut this deal,mengine ni stupidity tu..

Na pia sio kila siku serikali mshinde deals,kuna some deals mkubali ku-loose...is the matter of who outsmart who na sio ubwege huu,deal ifanyike,ubwege uishe production ifanyike nchi ifaidike,wajenzi tumeona tofauti kubwa alipoingia sokoni,bei zilishuka ambapo ni faida kwetu,sio huu ubwege bwana
 
Nitatoa mfano, Kiwanda kinajengwa Tanzania, mwenye kiwanda anataka apewe tax holliday yaani aendeshe kiwanda bila ya kulipa kodi anapewa, anataka apunguziwe gharama ya umeme anapunguziwa, anaajiri vibarua, kibarua maana yake ni mfanyakazi ambaye analipwa kwa siku na asipokuja kesho ajira kwisha anachukuwa mtu mwingine, hapo hapo mwenye Kiwanda anataka asilipe export tax kama akiuza bidhaa nje ya nchi na vile vile akiingiza bidha kwa matuminzi ya kiwanda chake pia anataka serikali imuondolee import tax, sasa Nauliza kuna faida ya kuwa na hiki Kiwanda?
Badala ya wewe kuuliza hili swali ungeleta majibu yake maana nyie ndiyo wateule wa nchi mnaoendesha sera na kuvutia wawekezaji
 
maskini vijana wenzangu.....
mbona kubebwa na itikadi za vyama, na kusahau kuwa taifa ni letu sote.....????
kwani jina la kiwanda litatufaa nini , ikiwa maswala ya tax holiday yamepigiwa kelele tangu SPIKA akiwa marehemu SITTA....
Hili tatizo la WAWEKEZAJI HEWA na MIKATABA HEWA YA UWEKEZAJI halijaanza leo..., kuna ili kampuni la uchimbaji wa madini ya dhahabu hapa nchini, lililolipoti HASARA tanzania na FAIDA kwa kampuni mama(parental comp)....lilikuwa na lengo gani zaidi ya ukwepaji wa KODI, UNAOSABABISHWA na sera hizi hizi za uwekezaji....????
 
Binafsi nampongeza sana aliyewasilisha Mada...., wewe ni moja ya mazalia ya Wazalendo yanayoenda kupotea hivi karibuni, ikiwa tu sauti za wanaokupinga zitazidi imani yako......
mada yako ingesomwa na watu kama Patrice Lumumba / Kwame Nkruma /MWL NYERERE / Captain Thomas Sankara / Maumaa Gadafi na wengi waliokuwa na MOYO wa kizalendo, labda ungepata mwaliko wa chakula cha usiku katika moja ya nchi ambazo hawa watu walizitawala kwa kipindi hicho.....
umeuliza swali tu , umeshambuliwa vibaya wakati jibu lilikuwa RAHISI tu, ilikuwa rahisi sana kusema HAKUNA FAIDA AU KUNA FAIDA , lakini ukisema KUNA FAIDA ni LAZIMA uwe na maelezo ya kutosha....

sikuona sababu za huyu mtu kushambuliwa , iko wazi sana " ANAEMLIPA MSANII NDIO ANACHAGUA WIMBO " Kama hautaki kamuulize BANANA ZORO na MJOMBA MPOTO, kama Zile nyimbo na yale maneno ya kumtukuza NANII ile siku ya Birthday magogoni, yalikuwa yakwao au ya wale waliolipa,...?????
Sasa vipi kukataa kuwa masharti haya yapo katika mikataba na sera zetu za uwekezaji, ikiwa ni wazi tumeweka Akili na Fikra zetu zote kwao(wawekezaji) tukifikiria juu ya Viwanda.....???

ni lazima tufikiri namna ya kutoka hapa tulipo , kuliko kubishania ukweli.......!!!
 
Kwanza nafikili faida ipo lakini siyo kubwa kihivyo. Faida ya kiwanda kuwa Tanzania inatokana na kitu kinachoitwa multplier effects. Kiwanda kipo Mtwara,, kinazalisha cemen6t Mtwara,, kuna mzunguko wa pesa mkubwa pale Mtwara,, Ukiacha vibarua pia kuna wafanyakazi wa kada za kati wanafanya kazi pale. Pia kuna ajira zisizo za moja kwa moja. Ajira hizi zinatokana na watu mbalimbali wanaouza cements nchini,, namaanisha wenye maduka ,, na vibarua wapakuaji wa hiyo cement. Pia ukumbuke kuna swala la usafirishaji yaani biashara ya usafirishaji wa cement inayotokana na kuwepo kwa kiwanda. Hiyo imeajiri madereva wengi sana. Na kuna kodi zinapatikana kutoka kwenye magari hayo kama corporate tax,, . Kuna Development levy, Paye.
 
A great mind that permeates beyond the curtain. Congratulations for superb contribution.
 
Kwanza nafikili faida ipo lakini siyo kubwa kihivyo. Faida ya kiwanda kuwa Tanzania inatokana na kitu kinachoitwa multplier effects. Kiwanda kipo Mtwara,, kinazalisha cemen6t Mtwara,, kuna mzunguko wa pesa mkubwa pale Mtwara,, Ukiacha vibarua pia kuna wafanyakazi wa kada za kati wanafanya kazi pale. Pia kuna ajira zisizo za moja kwa moja. Ajira hizi zinatokana na watu mbalimbali wanaouza cements nchini,, namaanisha wenye maduka ,, na vibarua wapakuaji wa hiyo cement. Pia ukumbuke kuna swala la usafirishaji yaani biashara ya usafirishaji wa cement inayotokana na kuwepo kwa kiwanda. Hiyo imeajiri madereva wengi sana. Na kuna kodi zinapatikana kutoka kwenye magari hayo kama corporate tax,, . Kuna Development levy, Paye.

unafurahishwa na sera za uwekezaji nchini kwetu......???? Rejea mtoa mada, alafu kumbuka kodi kama Corporate tax hawalipi hawa jamaaaaa.....kwa kisingizio cha kutokupata faida( usimamizi mduchu)....PAYE mim sitaki kukwambia chochote ndugu yangu , ila jaribu fatilia kama kipato cha tshs 90,000/= kwa mwezi wanalipa kodi hiyo (hawa ndo wengi kwenye viwanda vya wawekezaji hewa tunaowaboreshea mazingira kila kukicha.....)
fikiria tena....??? unafurahia
 
Izungumzie hiyo hoja ya Multiplier effects. Uwekezaji wa viwanda kwa kawaida unachukua watu wengi sana. Hoja ya Msingi hapo ni Multiplier effects. Mimi sina ugomvi na uwekezaji wa viwanda pamoja na vivution wanavyopewa. Ugomvi wangu upo kwa wawekezaji wa Madini na Gesi. Huko ndiyo naona hawastahili huruma ya vivutio.
 
Nitatoa mfano, Kiwanda kinajengwa Tanzania, mwenye kiwanda anataka apewe tax holliday yaani aendeshe kiwanda bila ya kulipa kodi anapewa, anataka apunguziwe gharama ya umeme anapunguziwa, anaajiri vibarua, kibarua maana yake ni mfanyakazi ambaye analipwa kwa siku na asipokuja kesho labda kwa ugonjwa au hata ajali ajira kwisha anachukuwa mtu mwingine, hapo hapo mwenye Kiwanda anataka asilipe export tax kama akiuza bidhaa nje ya nchi na vile vile akiingiza bidha kwa matuminzi ya kiwanda chake pia anataka Serikali imuondolee import tax, sasa Nauliza kuna faida ya kuwa na hiki Kiwanda?
Taja jina la kiwanda acha figisu figisu
 
Izungumzie hiyo hoja ya Multiplier effects. Uwekezaji wa viwanda kwa kawaida unachukua watu wengi sana. Hoja ya Msingi hapo ni Multiplier effects. Mimi sina ugomvi na uwekezaji wa viwanda pamoja na vivution wanavyopewa. Ugomvi wangu upo kwa wawekezaji wa Madini na Gesi. Huko ndiyo naona hawastahili huruma ya vivutio.

kwanza niseme nimefurahishwa sana na namna unavyoukubali ukweli na kujengeea hoja yale unayoyaamini...!!! kwa mtindo huu nadhani tutafika tunapotaka kwenda...
ni kweli kabisaa , viwanda bila kujalisha ni vya madini na gas au aina nyingine yoyote ya kiwanda, hakika vitaongeza mzunguko wa fedha kwa namna moja au ingine.....ni kweli watu wetu watapata Ajira za Afadhari ya haya , Kuliko kukaa nyumbani bure.....wauzaji wa culture watauza uza vinyago palee, kwa maana sera zetu za uwekezaji uruhusu wageni kuja kuwekeza sio tu na techical expert , bali hata wafagizi na wasimamizi wa vibarua....

lakini ni kweli tunaposema tanzania ya viwanda tuishia hapo tuuu....??? kweli tunafurahishwa na uwekezaji unaonyonya nguvumali zetu kwa faida yao na mataifa yao (masaa 12 kwa siku kwa ujira wa tshs 5,000/=)
ni kweli serikali inashindwa kuongeza kima cha chini cha mshahara ilii kuwafurahisha wawekezaji,wao (wawekezaji) wanatafuta faida kubwa , na kuongeza kima ya chini ni kuwapunguzia faida, basi sisi wote tukubali watanzania WANYONYWE tuuu, ili mradi kiwanda kiwepo......
kweliiii jamani ni lazima tufikiri upya viwanda tunavitaka lakini sina hakika kama ni vya sura hiii....
 
Back
Top Bottom